Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
askari wangu namna gani tena hapa?, Kamanda nime kuita mara tatu😂😂zipo za kiume mkuu, hata ukigoogle
ila lip balm dah😅 huo ushamba bado haujanitoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
askari wangu namna gani tena hapa?, Kamanda nime kuita mara tatu😂😂zipo za kiume mkuu, hata ukigoogle
ila lip balm dah😅 huo ushamba bado haujanitoka
Muhasibu na ww unaishi daslamu kumbe?!!Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.
Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000
View attachment 3207079
Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094
Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta
Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Tunatofautisha vipi Dove Shower Gel original na ile feki?? Tunaomba ufafanuzi zaidi hapa....Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.
Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000
View attachment 3207079
Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094
Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta
Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Hahahah tumnunulie Itel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twende Dukani ukajipatie mpyaaa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Wese la nazi ni kilainishi kakaNikioga nikapaka duodorant yangu kwapani, futa la nazi juu ya ngozi, saa mkononi, nguo zimepigwa pasi, mkanda kiunoni, kiatu mguuni, nmechana kipilipili changu kichwani na uchebe plus kaunyunyu kidogo cha savage nimemaliza.
Hizo dove nikinunua zitaexpire nitasahau kutumia.
Kuna sabuni zinaitwa MEGA zina maandishi ya kiarabu, ni buku tu hazina harufu kali binafsi tangu nizijue nazipendelea sana.
Kuna namna mbaya sana ya maisha inakuja. Kutakuwa hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke. Mwanaume inakuwaje unakuwa na mafuta ya kupaka kiwiliwili?Noma sana aisee....
Nilikuwa nadhani huwa ni wanawake tu wenye mafuta ya uso, mafuta ya kiwiliwili, mafuta ya mikono kumbe yapo kwa ajili ya wanaume pia.
Ngoja nizidi kujifunza maana nilidhani ninajua yote kuhusiana na mafuta nikaja kusikia kuwa kuna mafuta hata ya Pdiddy.
Fake ni nyepesi haina povu hata harufu imepoa sanaTunatofautisha vipi Dove Shower Gel original na ile feki?? Tunaomba ufafanuzi zaidi hapa....
Hizi brands ndiyo kwanza nazisoma hapa.Portiam
Aveeno
Tissue oil
Originals
Kilainishi cha nini mkuu, kilainishi cha uhakika ni pesa.Wese la nazi ni kilainishi kaka
Karibu maduka yote ya vipodozi utapataHizi brands ndiyo kwanza nazisoma hapa.
Itafaa zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah tumnunulie Itel
Nsikukamate