Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Mara yangu ya mwisho kupaka mafuta mwilini ilikuwa kipindi nasoma secondary.

Na hapo ilikuwa imewekwa sheria na maticha japo mara nyingi nilikuwa nachimba sana kuepuka asembo.

Na hata katika hicho kipindi nilikuwa situmii lotion, kuna mafuta fulani ya mgando ndani yanakuwa meupe hivi ndio nilikuwa napita nayo.

Hayo mafuta ulikuwa ukienda kwa mafundi baiskeli miaka hiyo utaona walikuwa wakiyatumia kupaka kwenye minyororo.
 
Hivyo ni vingi sana aisee mpaka vitafanya nijihoji nikiwa navyo.

Kama nina pesa hua natumia Razaq kwa ajili ya mwili mzima na Minara kwaajili ya nywele.

Nikiwa sina pesa natumia Minara kwa ajili ya mwili mzima na nywele.
 
Pengine asili ya ngozi yako. Lakini wengine ngozi zina shida. Kuna mtu ngozi kavu anapauka, angefanyaje? Mwingine mweusi tii anatoka ukoko, angefanyaje?
 
Hivyo ni vingi sana aisee mpaka vitafanya nijihoji nikiwa navyo.

Kama nina pesa hua natumia Razaq kwa ajili ya mwili mzima na Minara kwaajili ya nywele.

Nikiwa sina pesa natumia Minara kwa ajili ya mwili mzima na nywele.
Sio nyingi, hiyo Dove ni sabuni, wewe hutumii sabuni? Kilichozidi hapo ni Hand cream tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…