Kwanini?Mwanaume kutumia hand cream huo ni umama..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Mwanaume kutumia hand cream huo ni umama..!
Nitajitahidi sana kuandika bila kuvuruga furaha ya ushindi tunayopitia hususan pale napoona wapinzani wangu wakubwa kwenye huu uzi ndio mashabiki wenzagu.Mwanasimba mwenzangu hapa umepunga.
Hapana mzee hii si kweli, kuna wadada wengi tu wanavunja ungo na wanakuwa na chunusi..Kabisa mkuu ndio maana hata katika puberty stage kati ya mwanaume na mwanamke utaona asili inayojidhihirisha.
Mwanaume akifikia stage ya puberty lazima awe na ngozi yenye machunusi hovyo hovyo na sauti kuwa nzito.
Wakati mwanamke hicho kipindi mwili wake huzalisha homoni ya sebum kwa wingi ambayo husaidia kufanya ngozi yake iwe nyororo na laini.
usiruhusu hiyo cognitive bias ya appeal to tradition ikuendeshe ushindwe kuwa na fikra huruKabisa mkuu ndio maana hata katika puberty stage kati ya mwanaume na mwanamke utaona asili inayojidhihirisha.
Mwanaume akifikia stage ya puberty lazima awe na ngozi yenye machunusi hovyo hovyo na sauti kuwa nzito.
Wakati mwanamke hicho kipindi mwili wake huzalisha homoni ya sebum kwa wingi ambayo husaidia kufanya ngozi yake iwe nyororo na laini.
Hiyo ita depend kam mwili utazalisha homoni ya melanin kwa wingiHapana mzee hii si kweli, kuna wadada wengi tu wanavunja ungo na wanakuwa na chunusi..
Hii unapotosha watu..
Na kuhusu chunusi ni mabadiliko ya homoni tu, na si vijana wa kiume wote hupata chunusi...
Hiyo sio appel to traditional hiyo ni scientific facts.usiruhusu hiyo cognitive bias ya appeal to tradition ikuendeshe ushindwe kuwa na fikra huru
kule kwenye nyuzi za duni mbona tunakubaliana namna sahihi ya kufikiri ni ipi?
chunguza kwa kina kwanza.
hold yourself to your standards.
Hayo yanafaa kwa WANAUME WA DARKwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.
Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000
View attachment 3207079
Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094
Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta
Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Kabla ya kujua matumizi ya ziada ya 'Baby Johnson Oil' wabongo walikuwa wanatumia mate au makohozi au mafuta ya nazi.We mzee mafuta ya nazi umeyajulia wapi?
Mikono inaoshwa mara kwa mara ndio maana ina moisturizer yake ambayo ndio hiyo hand cream...I was like oh yeah, good, great until nilipofika kwenye hand cream!
Mdakuzi siku nikikukuta na hand cream utanieleza vizuri, nilishakwambia utumie body oil inatosha.
Na itakuwa hayo mafuta hivi sasa yameuzwa sana... hahahahhKabla ya kujua matumizi ya ziada ya 'Baby Johnson Oil' wabongo walikuwa wanatumia mate au makohozi au mafuta ya nazi.
Kumbe uzi wa màfuta! Nimepoteza muda bure.Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.
Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000
View attachment 3207079
Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094
Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta
Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Hayapatikani kirahisi madukani, cha ajabu hata wamama wenye watoto wameshaanza kuyasahau hayo mafuta ingawa kuna watu wanayatumia sana.Na itakuwa hayo mafuta hivi sasa yameuzwa sana... hahahahh
Wabongo tulio wengi tuna primitive mindset ndio maana mpaka leo tunaamini chakula ni wali na ugali kidogo labda ndizi na makande vingine vyote tunaona havifai...yaani ni hivi mbongo akishaamini katika kitu fulani kumtoa katika hyo imani ni kazi sana!WaTanzania wengi wanahitaji elimu juu ya afya ya ngozi zao, utunzaji wa ngozi hakuingiliani na mwanaume kuwa soft au mlaini, ni afya kwa ujumla.
Kwenda sauna, kwenda barbashop n.k kwa ujumla ni kujitunza...
Ndio maana ukitembea sehemu nyingi Tanzania, vijana wengi ni kama wakimbizi kimuonekano, mtu kajichokea, hawajali kuhusu ulaji na afya... ukitokea na muonekano wa tofauti wanaanza kukutizama wanajua kabisa huyu si mbongo mwenzetu...
Ama huyu ni tajiri... tubadilike...