Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Wabongo tulio wengi tuna primitive mindset ndio maana mpaka leo tunaamini chakula ni wali na ugali kidogo labda ndizi na makande vingine vyote tunaona havifai...yaani ni hivi mbongo akishaamini katika kitu fulani kumtoa katika hyo imani ni kazi sana!
Ni umasikini na kukosa elimu..
Kama mtu anakuambia kula chips mwanaume haifai, we unafikiri huyo ana akili timamu?
 
Kwani hii ina ishu gani ?
1000020941.jpg
 
Noma sana aisee....
Nilikuwa nadhani huwa ni wanawake tu wenye mafuta ya uso, mafuta ya kiwiliwili, mafuta ya mikono kumbe yapo kwa ajili ya wanaume pia.
Ngoja nizidi kujifunza maana nilidhani ninajua yote kuhusiana na mafuta nikaja kusikia kuwa kuna mafuta hata ya Pdiddy.
Kiwiliwili
Imekaa kama cha mnyama asiye binadamu…😁
 
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.

Dove Gel Body Wash
View attachment 3207110
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.

Jergens Utra Healing.
Haya mafuta ndio ninatumia mimi, nimeona matokeo mazuri sana. Usichukue Jergens yeyote tu bali chuku Utra Healing yenye Vitamin C, E na B5.
Bei yake sio kivile ni Sh.45,000 mpaka Sh.50,000

View attachment 3207079

Nivea Men Breathable
Haya mafuta ni ya ukweli sana wakuu, jaribu kuyatumia utayakubali
View attachment 3207094

Kwa body lotion napendekeza hayo mafuta

Dove Hand Cream
View attachment 3207100
Pamoja na kutumia body oil bado hutakiwi kukosa Hand Lotion kwa ajili ya kuiweka mikono yako vizuri. Hasa kwa wale wa maofisini usikose hii kitu kwenye kibeg au kwenye gari. Labda umefanya kazi ngumu ya kutumia mikono,au vyovyote vile umeona mikono yako haiko sawa, tumia hiyo hand lotion.
Kwa mimi napendekeza Dove hand cream. Inauzwa Sh.10,000 mpaka Sh.12,000
Usikose kuwa na dereva pia wa kukubebea Hand bag au Briefcase
 
kumbe hata wanaume hujipaka mafuta dah 🐒
 
Back
Top Bottom