Wanaume tunaopenda kuwa smart tusikose package hii

Ila wanaume wa dar daaaah unataka uwe soft mwanaume tena mikononi..?
 
"Wanaume kama mabinti"
 
Binafsi sihitaji marashi ya bei ghali au bidhaa za kifahari ili niwe mimi. Napiga zangu mafuta ya mgando ya kawaida, sabuni yangu ya kuogea ni ya kawaida tu [Isiyozidi buku]- wala hainishindi.

Maisha yangu ni simple, sihitaji mambo ya kujishaua. Mimi nikiamka ninachowaza ni kazi [Money is a key].

Kazi mbele, Sioni sababu ya kutumia hizo zaga, Za-nini!!?

CC: Blood Monetary doctor πŸ‘ŠπŸΎβœŠπŸΏ
 

View: https://youtu.be/9u9S44yOOhY?si=BScpq6QsXVZjf5L9
 
Shemeji Yenu alitembelea Mkoani Uku nilipohamia, Kucheck Bafu alichoka Ilibidi akaenda Kuleta Ivo Vikorombwezo sijui Dove na Mambo kede wa kede akajaza Bafuni, Sasa Amesepa Akaa Kama Miezi miwili kurudi tena Amekuta Vile Vitu sijagusa Kabisa alileta Mpaka dawa za meno za Herbal Kiukweli hakujisikia Poa ndio nkaanza Kuogea Dove hio ni Sabuni nzuri
 
Blood nakuelewa...... Ila limits zipo kwa me ikipitiliza ndo ttzo!!
 
Hauwezi kuwa mwanaume wewe! Kwamba mwanaume uhangaike kutembea na lotion ya kupaka mikono!? Hii ni dalili ya uchoko
 
Mhasibu unanipa wasiwasi sana mhasibu..
 
Tunapoelekea tutashauriwa tuanze na pedicure na manicure.Mimi binafsi sio muumini wa makorokoro yote hayo.Ila sina mikono kama msasa ,niko freesh na clean kama pesa mpyaa.
Oiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…