Duniani raha sana , mwanamke akikupenda raha sana, hasa akiwa na pesa na kazi nzuri.
Unakula beers, unakula maisha mjini, ananuka kila kitu kiroho safi, maisha yanasogea. Sasahivi tuna watoto 2, gari za kutembelea 2 na nyumba yetu safi maeneo ya Kigogo hapa Dsm. Mm nafuatilia biashara za mke wangu,maana ye yupo busy sana ofsn,anasafiri nje mara kibao.
Hatujawahi hombana, amani kila siku. Yupo very peace, mwaka wa 8 sasa maisha safi. Mwanaume nadrive bila shida, ila usiku cha moto nakipata, busy busy sana juu yake.
Wasalaam.