Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahahahah acha kumzuga mwenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahah acha kumzuga mwenzio
Ati unajisifu! Zamani hii kitu ilikuwa ni aibu halafu ni siri hata ndugu hawajui maana wakigundua watakuweka kikao na kutaka kujua yaliyokusibu siku hizi hadi wazazi wanafurahia,Duniani raha sana , mwanamke akikupenda raha sana, hasa akiwa na pesa na kazi nzuri.
Unakula beers, unakula maisha mjini, ananuka kila kitu kiroho safi, maisha yanasogea. Sasahivi tuna watoto 2, gari za kutembelea 2 na nyumba yetu safi maeneo ya Kigogo hapa Dsm. Mm nafuatilia biashara za mke wangu,maana ye yupo busy sana ofsn,anasafiri nje mara kibao.
Hatujawahi hombana, amani kila siku. Yupo very peace, mwaka wa 8 sasa maisha safi. Mwanaume nadrive bila shida, ila usiku cha moto nakipata, busy busy sana juu yake.
Wasalaam.
Siku atakapo mkorofisha ndio atajua yule ni mke au boss wake.Mwenzio ana raha!
endelea kusubiria
Thubutu huyu kakaa mguu nje mguu ndani madam akipata mwanaume wa maana, basi mtoto wa kiume hana lakeHongera kwa kutimiza miaka 8 ya kuolewa mkuu, nimependa na natamani kusikia ndoa yenu ikidumu mpaka kiapo chenu kitakapotimia.
Wa mama wa.com hazimo kama watoto wao utasikia wakisifia "fulani ana Bahati kweli kaoa kizito"Mhm!ningekuwa mama yako ninge lia kwa uchungu mara mbili ya uchungu nilioupata wakati nakuzaa.ila kwakua sio basi nakuhurumia tu
Sent using Jamii Forums mobile app