Wanaume tunaotunzwa na wake zetu tuje hapa

Naona Mkuu umekuja kutuambia kuwa umewekwa ndani

Hongera yako kwa kuolewa
 
Basi hapo ungesema huyo dada ni mzungu kila mtu angeona poa.
Chief we endeleza tu mikiki
 
Ati unajisifu! Zamani hii kitu ilikuwa ni aibu halafu ni siri hata ndugu hawajui maana wakigundua watakuweka kikao na kutaka kujua yaliyokusibu siku hizi hadi wazazi wanafurahia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kulelewa raha wewe ndo unapendwa sio magugu maji, mengine yamejaa sumu,.. Kwendraaaa kwenyuu!!
 
Paprikaa kaniweka ndanii jamanii kazi yangu kuperuzi Jf
 
Daah

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…