harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
kanasound kama kaweakness, au mi nina usingizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kiviiile🤣Mkuu, are you married?
Shemeji yangu hujawahi kosea.Au nimesema vibaya shemeji 😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata hamjui mnataka nini!! Bado tukiwahitaji kwa kuwaomba pesa, mnalalamika tena[emoji134][emoji134]
Mtajua wenyewe bwana.
tafuta hela mkuu ,wataona umuhimu wakoOyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena.
Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume, wanahitimu kwa asilimia kubwa zaidi kuliko wanaume, na wana uhuru mkubwa zaidi kuliko wanawake wa miongo iliyopita. Hilo si jambo baya. Uhuru mpya wa wanawake wetu unapaswa kusherehekewa.
Hata hivyo, wanawake wetu na wengine ulimwenguni wanapaswa kutambua kwamba, kibaiolojia, wanaume bado wanavutiwa na wanawake ambao wanamfanya mwanaume kujihisi anahitajika. Katika enzi za kisasa, means kuwa wanaume wa kisasa hawatoi tena kitu ambacho wanawake hawana (kwa mfano, pesa, elimu)
Kwa hivyo hatua ya asili ni kwa wanaume wa sasa hivi ambao wamekosa kuhitajika ni kutafuta wanawake ambao wanamfanya mwanaume kujihisi anahitajika. Njia rahisi ni kwa mwanaume kutafuta chini kiuchumi.
Mwanaume wa jiji kubwa, akipata mshahara wa millioni kwa mwezi hawezi tena kuwavutia wanawake wa kisasa ambao pia wanapata zaidi ya millioni au sawasawa. Kwahiyo kama mwanaume ufanye nini ? Anaweza kwenda katika kijijini na kumchumbia msichana wa kijijini maskini... Au atafute wa mjini ambae hajamvutia ila ni maskini zaidi yake.
Ukweli kwamba anachumbia "nje ya daraja lake"
Na sitokosea shem nakuahidi hilo 😅Shemeji yangu hujawahi kosea.