Wanaume tunapenda kuhitajika

Wanawake wanaohitaji wanaume ni kama 90% ya population iliyopo kwenye soko la mapenzi na hao unaowazungumzia kuwa hawahitaji wanaume ni kama 10% ya population ya soko na pengine ni malaya na wadangaji ambao wanaleta pozi za muda mfupi jua likianza kuzama watarejea kundini fasta.

Kimsingi wanaume tunapenda challenge na umwamba. Mwanaume anataka kuonekana hashindwi kitu kizembe au hakubali challenge imshinde hivyo atafanya kila namna kushindana na challenge itayomkalia mbele.

Kung'ang'ania wanawake wasiotaka ndoa ni moja ya mchezo wanaume wanapenda sana kucheza na huwa hawataki kushindwa hadi walale nao wakishafanikiwa inakuwa imeisha na hawana tena sababu ya kuendelea na mchezo walioshinda.

So usicomplicate maisha kijana.
 
tafuta hela mkuu ,wataona umuhimu wako
 
Tatizo wewe Jomba unataka uwe na Jokate wakati hadhi yako ni Amber Ruty.
 
Ngoja nikamtumie msg ya kumhitaji naeo ajione mtu kati ya watu💃🏾💃🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…