Wanaume tunapotezewa mda ila sheria zijawahi kuwa na sisi embu angalia hapa

Picha moja alikuwa halipi ada picha nyengine sasa hivi analipa ada which is ni jukumu lake kama huyo mtoto/watoto wametoka kwenye kiuno chake.

Maisha siyo ya masihara,mwanzo akiwa na 100K ilikuwa inamtosha kuvaa kunyoa leo akiwa nayo hiyo haitoshi hata ¼ ya yale wanae wanayataka so lazima achakae kama hakujipanga mapema.
 
Nakula maisha mpaka miaka 40 mwaka wa 41 narudi u brother kulitumikia kanisa katoliki mpaka kufa nukta sihitaji ushauri wala maelekezo hapa sio reception
you serious nigga? De bachelor die nigga, de 40yrs without nigga, de konka the church and die nigga, de kiuno nyeg jaa u die with them nigga, bomboclat de tomb n zaa out to fulfil the promisas man of babilon nigga. Wangwan nigga
 
Hahahaha i gat you man, but i was admired being a Catholic priest, kukawa na vikwazo vya wazee sasa nipo huru sipo chini yao tena, kwamba wao ndo waamuzi nat nimesoma nna bachelor nzuri tuu, napambana kiaina Ila mpaka mwaka huu uishe i will choose better either Catholic priest ama ndoa by the way nipo kwenye umri ambao unaruhusu de niga tomb n zaa qbabake 😂 umetisha Big brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…