Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Ndoa ni baraka na njia ya kuendeleza misingi mizuri ya utamaduni pamoja kuongeza uzao wa jamii/familia.
Katika mkisanyiko huu dhamira kuu hua ni baraka ya watoto na kipato lakini pia kupunguza matokeo hasi kwa jamii dhidi ya wazaliwa wasiokuwa na malezi ya pande mbili kwani ukweli usiopingika Kitanda hakizai haramu ila malezi ya upande mmoja ni mzigo kwa jamii nzima.
Wanaume tunafahamu na kuamini baraka ya ndoa inatupatia amani kubwa mno,tukiachana na vitoto vya 2000 magono na mayutiai yanatupita kando achilia mbali Gonjwa la Ukimwi.
Muunganiko huu umekuwa dhaifu kwasababu umeelemea upande mmoja(kwa mwanaume) ndiyo sababu ya kuvurugika kwa ndoa nyingi,ukiangalia kwa umakini kwa dunia ya sasa wanawake wamewezeshwa kipato kitu ambacho kinapelekea wengi wao kuunja huo utamaduni wa ndoa,wengi wanazaliana nje ya ndoa jambo ambalo siyo sahihi.
Jamii haitabaki salama ikiwa ndoa haita hemishiwa na kuthaminiwa,Tuheshimu ndoa na kudumisha utamaduni.