zukx
Member
- Apr 23, 2022
- 41
- 14
hujaamua kuupata huo muongozoHayanaga muongozo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujaamua kuupata huo muongozoHayanaga muongozo...
Mimi na Sky Eclat tunatembea kwa miguuLakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke.
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa.
Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika maisha yake, anamuoa haraka
Wanaume ni wenye maono wanapofikiria ndoa, hawafikirii mavazi ya harusi na bi harusi, wanawaza tofauti na chochote ambacho mwanamke anawaza siku ya harusi itakuwaje kwamba siku ya harusi nitavaa vipi ukumbi upi utapambwa rangi gani.
Tunafikiri kuwa mwanamke huyu anaweza kunitunzia nyumba na kukaa na familia bila kuleta matatizo au ataanza kuchepuka.
Wanawake wao hawafikirii maisha ya mbele, ye anachojua ni kutimiza majukumu yake anajua kinachofuata ni kubeba mimba na kuzaliana basi.
Unampa biashara anakuandalia chakula unampa pesa anakupa amani unampa mbegu anakupa watoto
Baada ya muda kidogo ugomvi unaanza, inageuka ndoto mbaya na wanaume wengi wanaijua.
Ndio maana mwanaume anaweza kukaa kwenye uchumba na mwanamke miaka mingi akakutana na mwingine ndani ya mwezi mmoja, kisha akaoa.
Wanaume hawa hitaji vitu vingi kutoka kwa mwanamke wanataka utulivu wa mwanamke.
mkuu unazingua, mimi nimefoward tu kosa langu nini.hhhh ndo ww huyo
hhh unajua mpak m2 anasema ujue kasha practice kwhy mkuu tulia 2mkuu unazingua, mimi nimefoward tu kosa langu nini.
mimi bado mkuu, rol model wangu Mzee muhasisi wa nccr-mageuzi.hhh unajua mpak m2 anasema ujue kasha practice kwhy mkuu tulia 2
saw mkuu kwhy umechukua experience kwake au siomimi bado mkuu, rol model wangu Mzee muhasisi wa nccr-mageuzi.
siyo asante tuu je uko tayari kuwa mwema kwanguAsante kwa ujumbe
🤣🤣🚴🚴🚴🚴siyo asante tuu je uko tayari kuwa mwema kwangu