Wanaume Tunawakosea sana Wanawake (Mme na Mke)

Wanaume Tunawakosea sana Wanawake (Mme na Mke)

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Uboyfurendi sijui nini tupa kule ... From my experience ... Wanaumee tu wakosaji sana kwa wenza wetu wa ndoa (siongelei uchumba ) NDOA ...
 
Tumeshakuelewa,kuna nyavu unazitega hapa ili kuwanasa Wanawake.
Si wa hivyo dingi ... Amini ... Wanaume sie ni vivuruge acha ... Wana tuvumilia makubwa sana kama upo kwenye taasisi yake ndoa ...hutorudi kuuliza ..wanaume sisi ni wakosefu sanaaaaa .... Kataa ukubali ... Mapito yako wayajua .. Na mkeo baadhi anayajua na AMEKUSAMEHE ...HESHIMU HILO ..
 
Kama kicheche ..chenchede ... Wakupukuta... nimepita mote ... Nawajua vyedi ... Sina baya na manzi ... Kama sahani yake mama ntilie inaoshwa unakula ... Mzinzi hana wivu .. Nampenda mke wangu
Sasa kwa Nini unamkimbia mkeo unaempenda?!!
 
Back
Top Bottom