Wanaume tunawavumila ila kila nyakati mnaboa sana

USHAURI WA BURE KWENU KINAMAMA MSIOTOSHEKA: Mara zote manung'uniko yenu yamekosa mashiko kwa sababu mnaoleta janga la mzee kulala ni nyie wenyewe. Hamjui hatari gani mnazileta kwenye miili ya waume zenu na hiyo mimafuta mnayojaza kwenye vyakula na mineno mibaya inayotoka vinywani mwenu inavyonyong'onyeza. Sijui nani aliwaambia kutia mimafuta mingi kwenye vyakula ndio upishi.
Mkuu nafikiri imemtosha kabisa ushauri huu.

La pili, mkae mkijua kile kifaa sio kijiti kikavu kwamba kimeumbwa kigumu vile. Kile kinasimama kwa hisia. Sasa kama unanuka vitunguu au jasho unategemea appetite ya mr itatoka wapi? Hapo nikikuuliza vyakula vinavyoleta nguvu na kuamsha ari utaniambia huvijui, kwa hiyo hata huyu unayemlalamikia hapa hapewi almonds wala chai ya saa kumi na karanga. Mmekaa kudai haki tu bila kutimiza wajibu, ebo!

Mimi wife wangu kafundishwa bana, akiona nadhorota tu anabadili diet yangu. Chai ya jioni na korosho, ndizi mbivu sana, asali na tangawizi kama kawaida. Huwa kuna wakati mwenyewe anajuta kujifanya fundi kwa shughuli nzito anayoipata. Jifunzeni nutrition sio kulalamika tu huku wenyewe mnatulisha sembe na miwali daily, eti tukimbie. Nikimbie kwani nimefumaniwa?!
Mkuu, ushauri uliompatia nadhani unatosheleza awe anatosheka na awe na mapenzi na mumewe anapotaka kuenda kwenye mapenzi ya kikubwa.
 
yani unakuja kumpa mipasho mme wako goigoi humu,,unadani sisi tutamsaidiaje kama hujamtaja jina?
 
mazoezi ni sehemu ndogo tu ya kukuongezea uwezo wa kutoa shughuli pevu kitandani.
kuna vitu vya muhimu km vile state of mind , hisia , huyo naye unayeempa hiyo shughuli (mwanamke) umemkutaje kuna wengine ni mamotivator kuanzia unaanza mpaka unamaliza hakuna tofauti na kuna wengine km vodacom-kazi ni kwako.
otherwise tafuta wny shughuli na ww ,mbona watakuwepo tu.
 
USHAURI WA BURE KWENU KINAMAMA MSIOTOSHEKA: Mara zote manung'uniko yenu yamekosa mashiko kwa sababu mnaoleta janga la mzee kulala ni nyie wenyewe. Hamjui hatari gani mnazileta kwenye miili ya waume zenu na hiyo mimafuta mnayojaza kwenye vyakula na mineno mibaya inayotoka vinywani mwenu inavyonyong'onyeza. Sijui nani aliwaambia kutia mimafuta mingi kwenye vyakula ndio upishi.

La pili, mkae mkijua kile kifaa sio kijiti kikavu kwamba kimeumbwa kigumu vile. Kile kinasimama kwa hisia. Sasa kama unanuka vitunguu au jasho unategemea appetite ya mr itatoka wapi? Hapo nikikuuliza vyakula vinavyoleta nguvu na kuamsha ari utaniambia huvijui, kwa hiyo hata huyu unayemlalamikia hapa hapewi almonds wala chai ya saa kumi na karanga. Mmekaa kudai haki tu bila kutimiza wajibu, ebo!

Mimi wife wangu kafundishwa bana, akiona nadhorota tu anabadili diet yangu. Chai ya jioni na korosho, ndizi mbivu sana, asali na tangawizi kama kawaida. Huwa kuna wakati mwenyewe anajuta kujifanya fundi kwa shughuli nzito anayoipata. Jifunzeni nutrition sio kulalamika tu huku wenyewe mnatulisha sembe na miwali daily, eti tukimbie. Nikimbie kwani nimefumaniwa?!

hapa mkuu umewasaidia...
 
Tatizo hua wanadhani wanajua kwahiyo ukimkosoa ni kama umemtukana vile.

Jamani, na sisi wanawake, tutafute njia nzuri, na bora ya kwuakosoa. Kesho akirudi toka kazini, akaishaweka gari, basi mpe truck suit and tell him, my dear let us go logging jamani, naona tumbo linakuwa kubwa sana, tutashindwa...

Na sio: wewe mwanaume mzembe sana, uvivu tu, huna unaloweza!!

You know what, wanaume hao hao tunaosema wavivu hapa ni wafungaji bora kwa wanawake wengine...........vimada na mahawara wa nje... read between the lines....
 
....a lil unattractive and 'much know' lady with excessive make-up and indecent dressing style who constantly watch x-rated sex tapes thinks she is a queen to be pleased in bed cause she's very hot....she's nothing creative but egoistic and she's less romantic from the way she talks to the way she's in charge in bed....she's doing nuthing good bt set the mood off...
 
Hili sio la kuwaachia wanaume peke yao! Hata sisi wanawake tunachangia sana sehemu kubwa, hatujui jinsi ya kuongea na waume zetu. Tumeona yale yanayosemwa kwenye kitchen party yamepeitwa na wakati na ni ushamba. Lakini yana maana.

Wanawake wengi tunakaa tu na kusibiri mwanaume ndio aanzishe hisia, asipofanya hivyo basi ni mzembe, unamfananisha na mahawara wanaokutaka huko mitaani, kuwa wako active. wale hawajapata, lazima wawe hivyo, na hata ukichukuliwa na mmojha wao baada ya muda mambo yatakuwa hayo hayo....
 
We ukiona kitandani kimya unafikiri uvivu? Huyo KACHOSHWA na mwenzako! Kwako anakupa kidogokidogo cha kutunza nyumba.

Kikubwa ni kufanya hamu iwepo kama mlipokutana mwanzo.

R. Giggs ni mcheza soka pro, fiti kwelikweli, lakini alikua anatumia fitness yake kwingine kabisa, sio home
 
na vitambi vyetu, gari, kutofanya mazoezi, michemsho na bia

bado unakuta tunamiliki mwanamke zaidi ya mmoja
 
USHAURI WA BURE KWENU KINAMAMA MSIOTOSHEKA: Mara zote manung'uniko yenu yamekosa mashiko kwa sababu mnaoleta janga la mzee kulala ni nyie wenyewe. Hamjui hatari gani mnazileta kwenye miili ya waume zenu na hiyo mimafuta mnayojaza kwenye vyakula na mineno mibaya inayotoka vinywani mwenu inavyonyong'onyeza. Sijui nani aliwaambia kutia mimafuta mingi kwenye vyakula ndio upishi.

La pili, mkae mkijua kile kifaa sio kijiti kikavu kwamba kimeumbwa kigumu vile. Kile kinasimama kwa hisia. Sasa kama unanuka vitunguu au jasho unategemea appetite ya mr itatoka wapi? Hapo nikikuuliza vyakula vinavyoleta nguvu na kuamsha ari utaniambia huvijui, kwa hiyo hata huyu unayemlalamikia hapa hapewi almonds wala chai ya saa kumi na karanga. Mmekaa kudai haki tu bila kutimiza wajibu, ebo!

Mimi wife wangu kafundishwa bana, akiona nadhorota tu anabadili diet yangu. Chai ya jioni na korosho, ndizi mbivu sana, asali na tangawizi kama kawaida. Huwa kuna wakati mwenyewe anajuta kujifanya fundi kwa shughuli nzito anayoipata. Jifunzeni nutrition sio kulalamika tu huku wenyewe mnatulisha sembe na miwali daily, eti tukimbie. Nikimbie kwani nimefumaniwa?!

Kama nyie ladies hamtaelewa hapa basi tena! (Mkuu nakushkuru kwa somo hili zuri) _kachumbari pia inabusti mambo, mix ya karoti, nyanya, vitunguu, hoho. _karanga zinaongeza viscosity ya goli
 
Mabinti wa kiswahili ni wachache sana wanaojituma yani kiukweli mnalaumu bule wanaume wakati mwingine unamwone binti kasimama lakini kitandani, kila kitu unafanya wewe.
 
Tatizo hua wanadhani wanajua kwahiyo ukimkosoa ni kama umemtukana vile.

Kwa nini umkosea badala ya kumfundisha?

Tatizo la wengi (wa upande wako) ni kudhani kuwa ukizaliwa mwanaume basi unajua kila kitu....Vipo vitu vingi hatuvijua na jukume lenu wenye mji kutuonesha vyumba vya kulala, maliwato, sebure n.k! Mkituachia tukakosea basi msitulaumu!!
 
Wanawake wengi hasa wale waliojaliwa kidogo kuwa na sura na maumbo mazuri hawana kitu, wao hufikiri uzuri wao ndio kila kitu kwenye mapenzi na matokeo yake hawajishughulishi kabisa kitandani. Kwanza utakuta wengine wamejipaka malipstic sijui na mamkorogo kibao kiasi mwanaume hawezi hata kuthubutu kumpiga denda manake ni uchafu kibao ataupata, Pili wakilala wamelala tu hawawezi hata kujituma kidogo, tatu, kauli zao zinachangia sana kushusha ari ya mwanaume yani wao ni kulalamika tu na kuomba vizawadi wakati wa shughuli kitu ambacho si mahala pake, nne, mapishi ya siku hizi nayo hovyo kabisa mafuta mengi kuliko maji, tano, mwili unahitaji kupata mazoezi na kupumzika muda wa kutosha lakini mwanaume akisharudi tu anaanza kuambiwa leo out wapi, mara twende shopping sijui yani vurugu tupu kurudi sa 5 usiku unategemea huyo mwanaume atafanya vizuri kweli kitandani wakati anawaza kuamka sa 10 ili awahi ofisini?
 
Back
Top Bottom