Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

Mada ya hovyo sana ...hatuwezi kwenda against nature .
 
Na wanawake wanasemaje kuhusu uwepo wenu! Msingekuwepo wangeishije?, binadamu wote tunategemeana na kama mmojawapo asingekuwepo basi nadhani uzao usingekuwepo maana how tungezaliana na kuijaza dunia?
Kweli kabisa,Sisi tupo kwaajili ya kuwapelekea ninyi moto,na ninyi mpo ili kupokea moto tunaowapelekea na kumwagiwa maniii.
 
Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu

Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke

""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
Aliishi miaka mingapi bila mwanamke??
 
Hivi kumbe furaha yetu kwa asilimia kubwa sisi Me imebebwa na wanawake? Ndiyo najua leo.
 
Tungeishi kivipi, hiyo ni siri ya kapuni.../

Utamu ambao hawatupi, tungeupata kwenye sabuni.../

Au vipi wahuni?

Hakuna cha sabuni hapo bali USHOGA ungekuja automatically.
 
Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu


Hiyo mada yako imekaa katika fumbo la matusi, sasa kama wanawake watoweke tamaa za mwili nk, za wanaume nani atazitimiza???---- wewe huoni hapo ndipo USHOGA utaibuka kwa kasi kubwa???🤣

Kabla hujaandika jambo jaribu kutafakari kwanza kwani unaweza kuandika MATUSI bila kujua.
 
Penye nia pana njia ukiwa na uthubutu wa kuanza, tungetengeneza madols ya 3D yakisasa yanayoweza kuzaa
Labla yangekua yanazaa panya, usifanye masikhara na uumbaji wa Mungu kwa binadamu mkuu, pamoja na technologies zoote kwenye uumbaji wa binadamu imeshindikana.
 
Labla yangekua yanazaa panya, usifanye masikhara na uumbaji wa Mungu kwa binadamu mkuu, pamoja na technologies zoote kwenye uumbaji wa binadamu imeshindikana.

Yakiweza kuzaa panya yatashindwaje kwa kuzaa mtu??
 
Labla yangekua yanazaa panya, usifanye masikhara na uumbaji wa Mungu kwa binadamu mkuu, pamoja na technologies zoote kwenye uumbaji wa binadamu imeshindikana.
Kama yameweza kutengenezwa na kuwa warwmbo zaidi ya watu inashindikanaje kuzaa?

Kama yametengenezwa kwa namna ambayo hayapigi vibomu nini kinacho fanya uhisi kuzaa kusiwezekane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…