secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hv malaika huwa wanazaliana!!??Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu
Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke
""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
ama wapo wale wale tu toka enzi na enzi