secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hv malaika huwa wanazaliana!!??Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu
Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke
""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
OkAhahaha aah wap mzee ..Huna mauwezo hayo ....waachie Tamaduni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee una nyeegeeh ...!??[emoji28][emoji28][emoji28]
Akili yangu imeniambia iwapo dunia ingekuwa na wanaume tuu basi mkuyenge ungekuwa mkubwaaa maana usingekuwa na kichongeo.
Puli ya mkono, sabuni, midoli haifikii kichongeo shurti pen-cell inatoka imechongokaaa sharp kwenda kuandika mahala ...[emoji12].
Hata sijavuta bange, akili tuu.
Kwa hiyo huu wa saizi ni manually?
Nilijua tu hili la ushoga litatajwa hapa, sasa kwanu sahivi Ushoga haupo? Au umekuja manually? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna cha sabuni hapo bali USHOGA ungekuja automatically.
[emoji23][emoji23][emoji23] bora umeuliza hivyo.Kwa hiyo huu wa saizi ni manually?
Nilijua tu hili la ushoga litatajwa hapa, sasa kwanu sahivi Ushoga haupo? Au umekuja manually? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbuzi, ngombe, punda, fisi, faru wooote hawa wana papuchi nzuri na tamu mno!! jaribu uoneNimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
Mpenzi Mbuzi si yupo hana matata!!Duh kwahiyo ingekua ni mwendo wa kukwea mmazi kwa mkono mmoja hadi unazeekaπ€
Wapo vile toka enzi na enzi na wana makao yao maalumu mileleHv malaika huwa wanazaliana!!??
ama wapo wale wale tu toka enzi na enzi
Kama huwezi kuzihimili tamaa zako za mwili Basi hata ufalme wa mbingu utausikia kwa jiraniHiyo mada yako imekaa katika fumbo la matusi, sasa kama wanawake watoweke tamaa za mwili nk, za wanaume nani atazitimiza???---- wewe huoni hapo ndipo USHOGA utaibuka kwa kasi kubwa???[emoji1787]
Kabla hujaandika jambo jaribu kutafakari kwanza kwani unaweza kuandika MATUSI bila kujua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan wee mtu daaah.Sasa wewe si ungejiuliza; Kama wanawake wapo kibao kwa idadi na ushoga upo sasa vipi kama wanawake wasingekuwepo???!!--- just a simple logic.[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi, ngombe, punda, fisi, faru wooote hawa wana papuchi nzuri na tamu mno!! jaribu uone
!! ila jiandae kula mateke ya kutosha lkn vumilia!! halafu hawa wanyama hawataki pesa, waume zao kina jogoo hawanaga wivu wewe mtafurie umhonge majani tu!!! unapewa papuchi km yote!!
ila wanawake ndo ndio wangetia huruma wangekoma na Vijiti vya mihogo mara vikatikie huko!! lkn sisi shega tu Mpenzi Punda ,na kuku ni wa kweli! waaminifu!
Hawana usaliti!!
Siku moja mbinguni ni sawa miaka 1000 kwa hesabu za kiduniaAliishi miaka mingapi bila mwanamke??
Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
Hahah bangi hizi
Kwani Adamu wakati huo alikuwa Mbinguni au duniani?.Edeni ni Mbinguni??Siku moja mbinguni ni sawa miaka 1000 kwa hesabu za kidunia
Kusudi la uumbaji wa malaika ni tofauti na uumbaji wa mwanadamu. As a matter of fact issue za gender ziko huku kwenye ulimwengu mwili(physical).Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu
Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke
""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
Kama huwezi kuzihimili tamaa zako za mwili Basi hata ufalme wa mbingu utausikia kwa jirani
Huko peponi hakuna ngono kaka we, jiandae tu kisaikolojia kwamba unaweza kuishi hata Kama hakuna mwanamke pembeni yako