Mkuu wacha kufuatilia maisha ya watu.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha...
Sawa sawa na yule dada alisema(ga) mwanamke mwenzangu usikihurumie kiumbe ambacho hujakizaa. drawEndeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
No offense watu wanadhani ni ukatili ila wanawake wenyewe hawataki simps and gentlemens, they want war and chaos man. Stoic manEndeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
Kuna sababu why amekaa kimya, sometimes it for the best. Nature inatuasa kuto kulazimishaKwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha,Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
Kaka udhalilishaji unasema non of our business,kuna hadichama cha wanaume wanaopigwana wake zao,huu ni unyanyasaji kijinsia,abgefanyiwa mwanamke wanaharakati wangeamka huko,wake up guy,tunakufa mapema sababu ya wanawake kama hawaMkuu wacha kufuatilia maisha ya watu.
It is either your business or none of your business.
Wanaume hatupigani vita vya maneno na wanawake, hasa mitandaoni. Anachokifanya mzee ndiyo uanaume wenyewe. Kula buyu kama hakijatokea kitu.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha,Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
Mama mshusha nyavu.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha...
Kuna kipi cha kuua hapo?Kaka udhalilishaji unasema non of our business,kuna hadichama cha wanaume wanaopigwana wake zao,huu ni unyanyasaji kijinsia,abgefanyiwa mwanamke wanaharakati wangeamka huko,wake up guy,tunakufa mapema sababu ya wanawake kama hawa