Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Dah mume wake mpole mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimya nao ni jibu tosha. Ukishindana na mjinga nawe unakuwa mjinga.Kuna sababu why amekaa kimya, sometimes it for the best. nature inatuasa kuto kulazimisha
Kushindana na mwanamke ni umamaKwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha,Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani
Lile kombola lilikua oversizeMarehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alikuwa achia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
Akijibu ataonekana anajitetea, akiendelea kunyamaza Tina atachoka tu. Mzee aendelee kunyamaza.Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kymsemea ameamua kunyamaza,ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu,yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya,kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi
Wanaume wapole ndiio maana tunakufa mapema,Tina angeolewa na mswahili kamamwijaku au manara asingethubutu kumdhalulisha mzee wa watu,angeanikwa hadi siri zake za chumbani