Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Mijeredi yake punda tu, binadamu ukichoka ni kuleft kama Tina a.k.a ze mchungaji
Huwa tuna-left kwa upole. Makeke tunaachia ngedere. Hilo analo. Ameishi na waswahiliswahili hadi anadhani hapaswi kuwa na siri wala privacy. Si kweli! Kuna mengine kufa nayo tu. Kwani shing ngapi kwa bei ya Kitanzania kufa nayo?
 
Tina malaya tu mzee wa watu kaishajichokea anapiga komoko labda,kaonjeshwa mjegeje wa domo wa tandale kaamua kuvunja ndoa
Mkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.

Malaya kisa kachoka kubeba mzigo? Kwahiyo aendelee kuteseka ili mumuone malaika??? Acha aishi apendavyo.....
 
Huwa tuna-left kwa upole. Makeke tunaachia ngedere. Hilo analo. Ameishi na waswahiliswahili hadi anadhani hapaswi kuwa na siri wala privacy. Si kweli! Kuna mengine kufa nayo tu. Kwani shing ngapi kwa bei ya Kitanzania kufa nayo?
Wanawake hatukuumbiwa kufa nayo bro..... Kufeni nayo nyie wenye vikoromeo kama vifilimbi
 
Mkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.

Malaya kisa kachoka kubeba mzigo? Kwahiyo aendelee kuteseka ili mumuone malaika??? Acha aishi apendavyo.....
Mizigo gani aliyoigundua baada ya miaka 20,kuna mtu kampelekea moto haswaa akaona haya ndio maisha,Tina, Tina,Tina
 
Mkipigwa chini yanawatoka sana, tulieni bana papuchi zipo nyingi....kamata nyingine endelea na maisha yako.

Malaya kisa kachoka kubeba mzigo? Kwahiyo aendelee kuteseka ili mumuone malaika??? Acha aishi apendavyo.....
No,no,no nooo!Hatumtafuti malaika.Tunamuhitaji mtu mzima wa mwili na akili anayeweza kuyakabili mazingira bila tafrani.
 
Bwana weeeee kama una uwezo wa kuyakabili yakabili tu hadi yakuuwe, kama ana uwezo wa kuyabwaga....ayabwage tu aitafute amani na furaha.

Btw kuna kingine kaongea zaidi ya "nimeachana na mme wangu ili nitimize ndoto zangu"????
 
Unapaswa uji-switch kimtindo kuendana na ngoma za maswezi.Have a trial!Kukataa kujaribu ni kushindwa kuikimbia aibu.
"Men are from mars, women are from the venus" kasome hicho kitabu

Aiseee sisi ni viumbe wawili tofauti kabisa, ndio maana kukaa wote tunastrago sana....hata mbinu zetu za kukabiliana na changamoto ni tofauti kabisa.

Nasimama na Tina tumetoka sayari moja, nyanya etu ni Lilith 🤣🤣
 
Bwana weeeee kama una uwezo wa kuyakabili yakabili tu hadi yakuuwe, kama ana uwezo wa kuyabwaga....ayabwage tu aitafute amani na furaha.

Btw kuna kingine kaongea zaidi ya "nimeachana na mme wangu ili nitimize ndoto zangu"????
Kaongea kiudhalilishaji na shutuma kuanzia kwa wazazi wake,familia yake,ukoo wake,jamii yote hususani akina mama.Ndoto gani unazozitimiza wakati umeshatoka kulala?The day dreams?Ungeeleza anataka kufanya matamanio yake,sawa.Kwani kufanya kimyakimya hawezi?Ajifunze uzeeni kuongea na kujibu maswali ya kiudaku.Anakwama big time!
 
"Men are from mars, women are from the venus" kasome hicho kitabu

Aiseee sisi ni viumbe wawili tofauti kabisa, ndio maana kukaa wote tunastrago sana....hata mbinu zetu za kukabiliana na changamoto ni tofauti kabisa.

Nasimama na Tina tumetoka sayari moja, nyanya etu ni Lilith 🤣🤣
Bado mmeshindwa kuishi Rome.Mtapata tabu na kuchakaa sana.
 
Kasemaje kwani? maana hayo machambo hatuyaoni yawekeni hapa.

Kwani huyo Tina na mzee Shusho wana watoto wangapi?
 
Kaongea kiudhalilishaji na shutuma kuanzia kwa wazazi wake,familia yake,ukoo wake,jamii yote hususani akina mama.Ndoto gani unazozitimiza wakati umeshatoka kulala?The day dreams?Ungeeleza anataka kufanya matamanio yake,sawa.Kwani kufanya kimyakimya hawezi?Ajifunze uzeeni kuongea na kujibu maswali ya kiudaku.Anakwama big time!
Kuna watu ndoto hazitimii kisa ndoa, kama nae ni mmojawapo.....uamuzi wake ni sawa.
 
Back
Top Bottom