Kuna ka kujifunza hapa. Haya ndiyo madhara ya wazee kuoa mabinti wadogo ambao wakishindwa kuwapelekea moto ipasavyo, huwakimbia na kuwafuata vijana wenzao wanaoweza kuwadinya sawasawa.
Tina amechungulia mechi akaona kuwa akiendelea kukaa na yule mzee hawezi kupata haki yake ya ndoa kikamilifu ndipo akaamua kukimbilia kwa Diamond. Hata kama ungekuwa wewe ungefabtaje mkuu? Mtu anapiga bao moja tu halafu anaanza kukoroma hadi asubuhi na wewe bado unahidaji kudunywa. Si inabidi ukimbie?
Mm namuunga mkono Tina lakini namshauri avunje ndoa na ikibidi abadili dini ili Mondi amuoe kihakali kuliko anavyomtesa mzee wa watu anamuacha njia panda. Avunje ndoa tu ili mzee wa watu naye antafute mzee mwenzake amuoe, naye aendelee na Mondi wake, isiwe shida.
Na kwa jinsi Mondi anavyopenda mbunye sidhani kama atakubali kumuachia kirahisi. Avunje ndoa na mzee Shusho na abadili dini aolewe na Mondi.