Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nyie mmeweza??? 😂😂Bado mmeshindwa kuishi Rome.Mtaoata tabu na kuchakaa sana.
Tulieni vipaji vya kina Tina vizidi kuibuka, muda ni mchache sana bro muda hautoshi kutia tia huruma.
Msitupande vichwani bana tumewabeba tumboni miezi 9, tumewanyonyesha na tunawanyonyesha tena, mtulie