Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
anasema yeye ni mzuri, alikuwa mzurii mno mno. ajabu sana. watu wanasahau kuwa mwili huu ni udongo na bure kabisa.Tina amezidi mdomo. Kuchangamana na kina diamond na yeye anajiona ni msanii wa kizazi. Shame on her
Ndoto zipi na alipata fame, pesa, elimu na watoto akiwa ndoaniKuna watu ndoto hazitimii kisa ndoa, kama nae ni mmojawapo.....uamuzi wake ni sawa.
imagine, hapa ndio yamefichuka, zamani miaka yote hiyo hadi watoto wapo vyuo, mzee ameumia kiasi gani? atakuwa ameteseka mno miaka mingi.Uzuri ni kuwa huyo mwanamke kashaonekana mjinga ukimjibu tu ni sawa unajibizana na kichaa utaonekana na wewe kumbe kweli ulikua ni chizi
Mambo ya kukojozana au sivyo?Marehemu G Habash alisemwa na Ladyjaydee sana. Alipoachia kombora moja Hiroshima akaonekana mbaya ila vita vikaisha
Kuwa mchungaji, kuwa na kanisa.....Ndoto zipi na alipata fame, pesa, elimu na watoto akiwa ndoani
Sema Christina siyo Shusho.Kwa inavyoonekana Shusho Kaachwa.Hajaacha.NDOA imemshinda SO Hapo alipo bado ana wenge la TALAKA.Ananikumbusha Stori za Flora Mbasha.
ndio ni mimi nilisema kamwe usimhurumie mwanamke, usitoe msbda wowote kwa mwanamke hawanaga shukrani exception ni mama yoko mzazi tuEndeleeni na upole wenu, kuna jamaa alisema tusiwahurumie wanawake na huo ndio ukweli. Unakuwa kondoo ndani ya nyumba mwisho ndio unafanyiwa hivi.
Mbona alivyopata ni vikubwa kuliko sababu za kuvunja ndoa?Kuwa mchungaji, kuwa na kanisa.....
Ukubwa wa kitu inategemea na uhitaji wa huyo mtu, labda kwake kuwa mchungaji ni kikubwa kuliko kuwa mkeMbona alivyopata ni vikubwa kuliko sababu za kuvunja ndoa?
Ila kwa maelezo yake, yeye ndo aliachwa. Akarudishwa nyumbani.
Ok, mimi ndio sababu huwa sijali kabisa chozi la mwanamke.Ukubwa wa kitu inategemea na uhitaji wa huyo mtu, labda kwake kuwa mchungaji ni kikubwa kuliko kuwa mke
Kabiiiiiiiiiisa yani mtu umuachishe wewe kuweweseka uweweseke weee mwenyewe haipogo hio!Mwenye maumivu ndio hunungunika 24/7. Ukipigwa tukio vizuri hauwezi msahau aliyekupiga tukio kila siku utalala naye utaamka naye. Apatiwe daktari wa akili.
Mwili mmoja??!!! Wich mwili whaaaat mwili.....Ok, mimi ndio sababu huwa sijali kabisa chozi la mwanamke.
Naamini katika ndoa ni watu wawili wenye maslahi tofauti waliokutana kutimiza ndoto zao.
Ile habari ya "sasa mmekuwa mwili mmoja" ni uongo mkubwa.
Hakuna watu wasiopendana kama walio ndoani.
Ulikuwa sahihi mkuu, mzee wa watu kahangaika kukuza kipaji, kalipia kutengeneza albums za kutosha. End of the story anasemwa mitandaoni na majukwaani. Shame!ndio ni mimi nilisema kamwe usimhurumie mwanamke, usitoe msbda wowote kwa mwanamke hawanaga shukrani exception ni mama yoko mzazi tu