Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
[emoji23][emoji23][emoji23] Mzee ulikua unajimwambafai
Pole kaka ndo ukubwa hapo sasa mi naona kuzima simu si suluhisho ngoja waje wataaalamu wa hizo kozi utapata suluhisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
waambie haujafanya usajili wa no. yako kwa mfumo wa vidole hvy umefungiwa upande wa miamala ya pesa afu pesa zako zote ziko kwa sim cards
This is LITwaambie haujafanya usajili wa no. yako kwa mfumo wa vidole hvy umefungiwa upande wa miamala ya pesa afu pesa zako zote ziko kwa sim cards
naweza nikapigwaDah...Acha woga bana....wekeza kwa faida ya baadaye....ndiyo uanaume huo [emoji2960]
Sent using Beretta ARX 160
hawa viumbe hawa ahahahaha.. mimi kuna mmoja kanicheki ananiambia kuna siku nilimtafuta nikamwambia nimekosea nambaHalafu leo nimepokea simu namba ngeni, sauti nyororo imsema "mambo vipi" nikamjibu freshi halafu akakata simu
Hapa target yangu ni kumtafuta kesho kutwa au ikiwezekana niwe na subra nimcheki ijumaa
kubabake zake, huyo wa kutokusema hata asante mtemeeeeee.. nishawahi kuwaga na huyo wana tabia mbaya sana.. ana tatoo????Mimi nishakula nyundo tatu,,mbili imebidi nitoe,,ila hii moja nimetupilia mbali kiroho mbaya..demu unampa hela hata kukutumia text ya asante nimeiona hatumi
kabisaThis is LIT
inahitaji moyo kwa jinsi nilivyojinadiWachane tu kwamba hali ngumu
sanaaaaaKipindi hiki cha sikukuu wadangaji wanapata tabu saana!