Wanaume tupeane mbinu za kukwepa vizinga vya "Ya soda" christmas hii

Wanaume tupeane mbinu za kukwepa vizinga vya "Ya soda" christmas hii

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
1,310
Reaction score
1,633
Hapa nishapigwa nyundo kama 2 hivi, na wote ni wanawake ambao naona hapo baadae wana manufaa, hi ndio hasara ya kujimwambafai maneno mengi sikukuu kama hii unaingia mitini!

Au kesho nizime simu nini wazee maana sielewi bajeti na matumizi haviendi sambamba!

Au nyie mnatumia njia gan kuruka hivi viunzi kwa mtu ambae hutaki kumpoteza??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...Acha woga bana....wekeza kwa faida ya baadaye....ndiyo uanaume huo [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Me nilishayajua haya nikawapanga mapema kuwa Niko chaka huku nafatilia mishe Fulani ya pesa, hvyo kuna tatizo la network. So nisipopatikana mda mrefu wasishangae.. Na wamejaa kabisa kudadadeq, nimewablock mazima. Na- make sure hadi mwaka mpya umepita ndo nitawa-unblock na maneno mazuri yakuwalainisha..
Sitakagi ujinga me aaalah..!!
 
Mimi nishakula nyundo tatu,,mbili imebidi nitoe,,ila hii moja nimetupilia mbali kiroho mbaya..demu unampa hela hata kukutumia text ya asante nimeiona hatumi
 
Halafu leo nimepokea simu namba ngeni, sauti nyororo imsema "mambo vipi" nikamjibu freshi halafu akakata simu

Hapa target yangu ni kumtafuta kesho kutwa au ikiwezekana niwe na subra nimcheki ijumaa
 
Halafu leo nimepokea simu namba ngeni, sauti nyororo imsema "mambo vipi" nikamjibu freshi halafu akakata simu

Hapa target yangu ni kumtafuta kesho kutwa au ikiwezekana niwe na subra nimcheki ijumaa
hawa viumbe hawa ahahahaha.. mimi kuna mmoja kanicheki ananiambia kuna siku nilimtafuta nikamwambia nimekosea namba
 
Mimi nishakula nyundo tatu,,mbili imebidi nitoe,,ila hii moja nimetupilia mbali kiroho mbaya..demu unampa hela hata kukutumia text ya asante nimeiona hatumi
kubabake zake, huyo wa kutokusema hata asante mtemeeeeee.. nishawahi kuwaga na huyo wana tabia mbaya sana.. ana tatoo????
 
Back
Top Bottom