Wanaume tupewe nini?

Hapana chakula cha watu wote Sema nilipitiwa na usingizi. Njoo uonje saussage

Duuu hizo vitu hata silagi yaani, yaani unalala unaamka tena ndio uanze kutafuta vya kula!!!
 
Duuu hizo vitu hata silagi yaani, yaani unalala unaamka tena ndio uanze kutafuta vya kula!!!

Yeah ndio hi yo tulikuwa kawe kwenye pati ya kujifariji baada ya kushindwa kwenye uchaguzi
 

Kweli kabisa kaka mito ila huyu msichana sio kama anakipato cha juu saana ila ni wakawaida
 
Last edited by a moderator:
Weeee swahiba mi nipate bahati hiyo niiache tena, aahaa never on earth!!! As long as aninyasinyasi kwa kipato chake nitaenda naye sawa tu.

Kama uko kama huyo mdada unakaribishwa kwa roho nyeupe swahiba, teh teh teh!!

Pokea like,
Maana tangu lowasa ashindwe na kitufe chake kimepotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…