Ngoja tuzidishe kasi ya kuomba pesa. Mana hamna namna nyingine
Huyo binti anaumwa akili haki vile, yaani nigharamie!!! Uwiiii hata kuwaza tu sijawahi yaani, ameniudhi kweli wa wapi huyo!!! Agggggrrrrrrr!!
Hivi pesa inathamani kiasi gani katika moyo wako?
Asilimia 99 ya moyo wangu ni pesa, hiyo moja ndio ilobaki kwaajili ya mambo mengine.
utapendaje wakati hauna hisia kwa 99%...
Pesa ni orgasm tosha kwangu, we toa tu uone mambo yanavyonyooka.
Teh kaka mtumishi em niachie mama angu mdogo bana atoto. Wewe Mpe tu hela, yani Mpe tu hela mwenyewe wala hatokusumbua. Ila ukijifanya wallet yako haifunguki ndo lazima atakukurupusha kidogoTeh teh hapa naiona tofauti kati ya atoto na dada mtumishi Heaven Sent
Hapo tena na hizo fake orgasim paka mwenyewe utashangaaa...
Nimekivulia kofia dada-shemeji atoto
Mwanamke mzigo kama huyo atoto nani anataka? mtu ambaye akili zake bado zipo kwenye karne ya 20 wakati wenzake wapo karne ya 21. Mwanaume anayevutana na huo msalaba ana kazi kweli. Lakini dawa yake ni kuli.tia nyuma tu hafu kulitupa kule.Teh kaka mtumishi em niachie mama angu mdogo bana atoto. Wewe Mpe tu hela, yani Mpe tu hela mwenyewe wala hatokusumbua. Ila ukijifanya wallet yako haifunguki ndo lazima atakukurupusha kidogo
Yeah ndio hi yo tulikuwa kawe kwenye pati ya kujifariji baada ya kushindwa kwenye uchaguzi
Nyako to sendini nochienigo......
Kwa hiyo tatizo lipo kwa binti? Kushindwa kutafuna pesa tamu.....
Binti wa mbeya tho ameloweya huu ''mji wa mawe"
Nlijuwa tuuu kwa wewe huwezi.... wewe ni tofauti na dada-shemeji atoto
Teh kaka mtumishi em niachie mama angu mdogo bana atoto. Wewe Mpe tu hela, yani Mpe tu hela mwenyewe wala hatokusumbua. Ila ukijifanya wallet yako haifunguki ndo lazima atakukurupusha kidogo
Mwanamke mzigo kama huyo atoto nani anataka? mtu ambaye akili zake bado zipo kwenye karne ya 20 wakati wenzake wapo karne ya 21. Mwanaume anayevutana na huo msalaba ana kazi kweli. Lakini dawa yake ni kuli.tia nyuma tu hafu kulitupa kule.
Yaani hata simuelewi huyo binti, hilo litakuwa pepo ngoja nitamfanyia maombi
Teh teh.....
Yashindwe maombi yako. Maana i hope hata mungu hapendi. Ubepari
Khaaaa angekuwa tofauti si angekuwa na masikini? Huoni nae kaenda zinakomwagika tu.
koro, wanenore nade.....Hahaaaa! Sendina mara kenda.
Tunatafuta box kubwa angalau mtunukiwa zawadi ajue amepata hata washing machine kumbe ndani tumemwekea boko haram wake hahhahaHahahaaaa! My dota vipi zile gift paper unaleta lini? Natolewa zawadi mwenzio nimemwambia anitafutie sonko sio kimeo ndiko akanikabidhi.
Unatamani ni-Rip!!! kwa kusema wewe sio wa karne hii??? Ila sioni tatizo maana watu kama wewe mna umuhimu wenu. Nikizidiwa nitakutafuta.Kumbe bado upo hai daaah!! RIP again.