Wanaume tupewe nini?

Wanaume tupewe nini?

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
19,955
Reaction score
45,207
Habarini,

Kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa wanaume tuliowengi juu ya tabia ya wanawake walio wengi kupenda kuomba hela kutoka kwa wanaume.

Lakini cha kushangaza ni kwamba kuna rafiki yangu kipenzi ambaye ana Girlfriend wake ambaye amefikia hatua ya kutomthamini wala kumpenda kabisa sio labda kwa sababu anatabia mbaya au laa ila ni kwa sababu rafiki yake wa kike sio mpenda pesa

Yani tangu wawe katika mahusiano wana muda kama miezi 6 inakaribia ila huyu msichana hajawahi kumuomba pesa kwa shida yeyote ile. Yani hata wakitoka mwanamke huwa mambo karibu mengi anagharamia.

Kuna muda jamaa anajisikia weak saana eti kwa sababu tuu hajawahi kumgharamia wakiwa pamoja au katika mahitaji yake mfano kusuka n.k

Akimletea zawadi za gharama binti huwa anashukuru ila huwa anamhurumia kwa kumwambia hupaswi kufanya hivyo. Wala sipendi wewe kuingia gharama kwa sababu yangu.

Kuna kipindi huwa anamlazimishia kumpa pesa, binti wa watu huwa anakataa kabisa. Jamaa anachojaribu huwa ni kumpa kwa lazima na pia huwa anampa kwa njia ya kumuachia bila ya yeye kujua.

Ila pamoja na binti huyu kutokuwa na tabia ya kupenda pesa kutoka kwa boyfriend wake yupo loyal kwa mpenzi wake na nlipomuuliza rafiki yangu huyu iether kama anadharau au kutokumheshimu binti wa watu hana hayo yote ni mskivu mno.

Paka maamuzi ya mwisho jamaa anaamua kumpotezea binti huyu na kutomjali.

Kitu ambacho nimejiuliza bila kupata majibu kwa sisi wanaume hivi tunatatizo gani!?

Kumpa hela mwanamke ndio sababu ya kuwa confident kwa mwanamke? Kama huyu jamaa anavyodai

Kwanini wanaume tunashindwa kuthamini wanawake wa aina hii!?
Wabarikiwe wanawake wa aina hii kwakweli maana ni wachache mno.

Pia wale wapenda pesa salam kwenu, maana mnaweza achwa kama huyu binti kisa tuu hamuombi pesa.
 
Ngoja tuzidishe kasi ya kuomba pesa. Mana hamna namna nyingine
 
Kweli kabisa maaana ukiwa na mwanaume kama huyu rafiki yangu aisee anakuacha mapemaaa kama humuombi pesa
 
Nipe namba yake nimweke ndani fasta. Huyo poa sana kwa sababu anakusaidia kubaki na hela kibao ya kutumia na michepuko
 
Mkuu inamaana msichana wako asipokuomba pesa bhasi znaenda kwa mchepuko?....

Kweli wadada endeleeni kukamua pesa za wakaka
 
Wewe ni ke' unayejifanya me' na pia sio rafiki yako ni wewe mwenyewe.
 
My dear sumbai.....
Kiuhalisia mwanaume alokamilika wa kiafrika lazima "aprovide" kwa mke/ mpenzi wake. Na asipofanya hivyo humfanya kutokujiamini.

Ni mwanaume mario tu (msinipopoe tafadhali) ambae atalalamika kila kukicha. Ndio maana unaweza kukuta mwanaume ana elfu tano tu mfukoni atampa mpenziwe 4,000 abakiwe na buku ya nauli akazisake.

Ila changamoto uko na mwanamke wa aina gani? Mwenye mapenzi na wewe? Ambaye anajua leo sumbai hana kitu akakuvumilia au kukupiga tafu au uko na JINI MLA FEDHA? akukamue mpaka tone la mwisho????

Mwisho kabisa kuhudumiwa raha bana..... haswa unapoona mwanaume wako anajitoa kwa hali na mali ili muwe na maisha mazuri. Inahamasisha kujitoa zaidi na kumsapoti kwa hali zote ili mfikie malengo.
 
Last edited by a moderator:

Hapa ndipo huwa nakosa kupaelewa kwa kweli...inamaana mwanamke asipotaka hela yako mwanaume unshindwa kujiamini.?

Kinachokufanya ujiamini mbele ya mwanamke ni mwanaume kumpa pesa mwaname?
BADILI TABIA unasema that is how african men are! ! !!

Kwa hiyo kwa vile mwanaume hajifil confident mbele mwanamke asiyetaka pesa basi ni halali kumpotezea mwanamke wa aina hiyo.?
atoto... njoo unipe ufafanuzi

Kaka mdogo mito ni halali kumwacha mwanamke wa aina hii?
 
Last edited by a moderator:
Habarini,

Kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa wanaume tuliowengi juu ya tabia ya wanawake walio wengi kupenda kuomba hela kutoka kwa wanaume.

Lakini cha kushangaza ni kwamba kuna rafiki yangu kipenzi ambaye ana Girlfriend wake ambaye amefikia hatua ya kutomthamini wala kumpenda kabisa sio labda kwa sababu anatabia mbaya au laa ila ni kwa sababu rafiki yake wa kike sio mpenda pesa

Yani tangu wawe katika mahusiano wana muda kama miezi 6 inakaribia ila huyu msichana hajawahi kumuomba pesa kwa shida yeyote ile. Yani hata wakitoka mwanamke huwa mambo karibu mengi anagharamia.

Kuna muda jamaa anajisikia weak saana eti kwa sababu tuu hajawahi kumgharamia wakiwa pamoja au katika mahitaji yake mfano kusuka n.k

Akimletea zawadi za gharama binti huwa anashukuru ila huwa anamhurumia kwa kumwambia hupaswi kufanya hivyo. Wala sipendi wewe kuingia gharama kwa sababu yangu.

Kuna kipindi huwa anamlazimishia kumpa pesa, binti wa watu huwa anakataa kabisa. Jamaa anachojaribu huwa ni kumpa kwa lazima na pia huwa anampa kwa njia ya kumuachia bila ya yeye kujua.

Ila pamoja na binti huyu kutokuwa na tabia ya kupenda pesa kutoka kwa boyfriend wake yupo loyal kwa mpenzi wake na nlipomuuliza rafiki yangu huyu iether kama anadharau au kutokumheshimu binti wa watu hana hayo yote ni mskivu mno.

Paka maamuzi ya mwisho jamaa anaamua kumpotezea binti huyu na kutomjali.

Kitu ambacho nimejiuliza bila kupata majibu kwa sisi wanaume hivi tunatatizo gani!?

Kumpa hela mwanamke ndio sababu ya kuwa confident kwa mwanamke? Kama huyu jamaa anavyodai

Kwanini wanaume tunashindwa kuthamini wanawake wa aina hii!?
Wabarikiwe wanawake wa aina hii kwakweli maana ni wachache mno.

Pia wale wapenda pesa salam kwenu, maana mnaweza achwa kama huyu binti kisa tuu hamuombi pesa.

Kuna lingine zaidi ya kutokuombwa pesa inawezekana jamaa hajakwambia!
 
My dear sumbai.....
Kiuhalisia mwanaume alokamilika wa kiafrika lazima "aprovide" kwa mke/ mpenzi wake. Na asipofanya hivyo humfanya kutokujiamini.

Ni mwanaume mario tu (msinipopoe tafadhali) ambae atalalamika kila kukicha. Ndio maana unaweza kukuta mwanaume ana elfu tano tu mfukoni atampa mpenziwe 4,000 abakiwe na buku ya nauli akazisake.

Ila changamoto uko na mwanamke wa aina gani? Mwenye mapenzi na wewe? Ambaye anajua leo sumbai hana kitu akakuvumilia au kukupiga tafu au uko na JINI MLA FEDHA? akukamue mpaka tone la mwisho????

Mwisho kabisa kuhudumiwa raha bana..... haswa unapoona mwanaume wako anajitoa kwa hali na mali ili muwe na maisha mazuri. Inahamasisha kujitoa zaidi na kumsapoti kwa hali zote ili mfikie malengo.

Umenena kweli,kuhudumiwa na mwanaume wako raha sana,sio lazima kiwe kikubwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom