Wanaume tushikamane. Hawa wanawake watatuua watumalize. Nawe unapigwaje umetulia?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Hivi inawekekanaje Mwanamke anakukalisha chini, anakupiga na mwiko huku kakukanyaga na mguu na ndani hajavaa kifuli, halafu mwanaume unalia kama mtoto mdogo?

Ni nguvu gani wanatumia? Kwangu nahisi haiwezekani nikiwa hai.

Nibwakati wa Wanaume tuamke tuwasaidie wanyonge.

Mkeo anakupiga marafiki zake wanashangilia😭
 
😂😂😂 ulipona kuzirai tu
Nilizirai kipenzi. Hebu fikiria mtu anampiga mke wake RKO kweli. Kuna wanaume wana roho mbaya.
16E4F759-CF03-4B3C-BEA1-0DF308F8E85E.jpeg
 
Salaam Wakuu,

Hivi inawekekanaje Mwanamke anakukalisha chini, anakupiga na mwiko huku kakukanyaga na mguu na ndani hajavaa kifuli, halafu mwanaume unalia kama mtoto mdogo?

Ni nguvu gani wanatumia? Kwangu nahisi haiwezekani nikiwa hai.

Nibwakati wa Wanaume tuamke tuwasaidie wanyonge.

Mkeo anakupiga marafiki zake wanashangilia😭
View attachment 2864594
Labda maigizo....sio kweli kwelii
 
Daah! Ukisikia kuupatwa kwa baba mwenye nyumba ndo huku sasa.

Pole kwa wanaume wote wanaopitia hii adha.
 
Salaam Wakuu,

Hivi inawekekanaje Mwanamke anakukalisha chini, anakupiga na mwiko huku kakukanyaga na mguu na ndani hajavaa kifuli, halafu mwanaume unalia kama mtoto mdogo?

Ni nguvu gani wanatumia? Kwangu nahisi haiwezekani nikiwa hai.

Nibwakati wa Wanaume tuamke tuwasaidie wanyonge.

Mkeo anakupiga marafiki zake wanashangilia😭
View attachment 2864594
Maigizo tu hayo. Jamaa anadhani anadharirisha wanaume, kumbe anajidharirisha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom