Wanaume tushikamane. Hawa wanawake watatuua watumalize. Nawe unapigwaje umetulia?

Wanaume tushikamane. Hawa wanawake watatuua watumalize. Nawe unapigwaje umetulia?

Wanawake wengine sijui wamewaloga namna gani wapenzi wao.
Mimi nilijaribu kumpiga wangu kofi weeee alinipiga hiyo Uppercut akamalizia ni ile RKO nililala ndani mwezi mzima.
Alitakiwa amalizie na 619 ya rey Mysterio 😂😂😂 ulale miezi miwili ndani
 
Iyo ni mbinu maridadi, kamua kuruhusu mwanamke ajisikie kua mwenye power ili afanye yake yaishe af kesho jioni amwombe penzi apewe kiroho safi.
 
Nimpige sehem gan za mwili mkewangu ili alale chini wiki mbili wajuv wa kata funua mje mnipe mbinu mana mazoea yamezid ananichukulia kama mjomba ake
 
Samson na nguvu zake alizozaliwa nazo za kupigana na simba nguvu za kuangusha maghorofa, nguvu za kupigana na tembo ila ajabu aliangushwa na mwanamke ambao tunasemaga ni dhaifu, wanawake sip dhaifu ni watu hatari sana tuishi nao kwa akili
 
Kama Ni kweli jamaa amekula limbwata la kushiba.
Kupigwa na mwanamke bora upigwe na mtoto wa chekechea wa kiume.
 
Kuna wanaume wanapitia mateso makubwa na kuchomoka hawawezi maana walishalishwa kitu limbwata
 
Wanawake wengine sijui wamewaroga namna gani wapenzi wao.
Mimi nilijaribu kumpiga wangu kofi weeee alinipiga hiyo Uppercut akamalizia ni ile RKO nililala ndani mwezi mzima.
RKO kama ya Rand Orton ungekufa siku nyingine usirudie [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilizirai kipenzi. Hebu fikiria mtu anampiga mke wake RKO kweli. Kuna wanaume wana roho mbaya.View attachment 2864603
Alifanya hivyo kukuonya usijaribu tena mambo ya kwenye tamthilia ya wanawake kuwapiga makofi wanaune na wenyewe wanaangalia tu kama zombie. Mimi wangu nilimwambia kuwa sitampiga katika maisha yeti ya ndoa, lakini hii itakuwa tu kama hataleta ujinga ule wa kwenye tamthilia. Namshukuru Mungu sasa ni mwaka kumi na nane hata sijawahi kumpiga hata Kofi.
 
Back
Top Bottom