Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Alitakiwa amalizie na 619 ya rey Mysterio πππ ulale miezi miwili ndaniWanawake wengine sijui wamewaloga namna gani wapenzi wao.
Mimi nilijaribu kumpiga wangu kofi weeee alinipiga hiyo Uppercut akamalizia ni ile RKO nililala ndani mwezi mzima.
Hahahhaa mkuu una roho mbaya yaani nipigwe na 619 kweli?Alitakiwa amalizie na 619 ya rey Mysterio πππ ulale miezi miwili ndani
Kabisa yani[emoji1787][emoji1787] .....kila mtu na mbinu zakeKilichomfanya huyu jamaa kutulia ni hayo mapaja hahaha
Angeanza kumshambulia kimahaba sio!?Mwanaume utapigwaje na mwanamke ambaye hajavaa kufuli [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa kilaza kweli...
[emoji13][emoji13][emoji13]Kabisa yani[emoji1787][emoji1787] .....kila mtu na mbinu zake
UtauaNimpige sehem gan za mwili mkewangu ili alale chini wiki mbili wajuv wa kata funua mje mnipe mbinu mana mazoea yamezid ananichukulia kama mjomba ake
kwahiyo nimuache aendelee kunidharauUtaua
RKO kama ya Rand Orton ungekufa siku nyingine usirudie [emoji3][emoji3][emoji3]Wanawake wengine sijui wamewaroga namna gani wapenzi wao.
Mimi nilijaribu kumpiga wangu kofi weeee alinipiga hiyo Uppercut akamalizia ni ile RKO nililala ndani mwezi mzima.
Alifanya hivyo kukuonya usijaribu tena mambo ya kwenye tamthilia ya wanawake kuwapiga makofi wanaune na wenyewe wanaangalia tu kama zombie. Mimi wangu nilimwambia kuwa sitampiga katika maisha yeti ya ndoa, lakini hii itakuwa tu kama hataleta ujinga ule wa kwenye tamthilia. Namshukuru Mungu sasa ni mwaka kumi na nane hata sijawahi kumpiga hata Kofi.Nilizirai kipenzi. Hebu fikiria mtu anampiga mke wake RKO kweli. Kuna wanaume wana roho mbaya.View attachment 2864603
ππππPoleWanawake wengine sijui wamewaroga namna gani wapenzi wao.
Mimi nilijaribu kumpiga wangu kofi weeee alinipiga hiyo Uppercut akamalizia ni ile RKO nililala ndani mwezi mzima.