Wanaume!tusifieni jamani tusifieni

Wanaume!tusifieni jamani tusifieni

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,065
Reaction score
24,559
Sawa ni wajibu wetu kuwapikia,sawa ni wajibu wetu kuwafulia,sawa ni wajibu wetu kunyoshea nguo,sawa ni wajibu wetu kulea watoto,sawa ni wajibu wetu kuweka vyumba na nyumba nzima safi,sawa ni wajibu wetu kujiremba.lakini jamani kwanini wengi wenu ni ngumu sana kuonyesha mmefurahi,mwambie mkeo umependeza,wife leo msosi wa leo baaab kubwa,honey leo umekatika vizuri ile mbaya,au mke wangu mashuka uliyonunua ni mazuri yameshine vizuri sana kitandani,kama mkeo /mpenzi amebadili style ya nywele and it appeals t yu si umwambie?kama amebadilisha setting ya bedroom kwanini usimwambie kilivokuvutia kwa hu mpangilio mpya!PLEASE JAMANI TUPENI TU HIZO CREDITS ZETU !
 
unaweza msifia mtu akageuka 'mjuaji'

na mwingine akikosolewaa anachukulia 'katukanwa'

na mwingine ukimsifia tu,unaanzisha maapya kabisa

all in all kuwasifia ni kitu kizuri 'mnapostahili'
 
mimi uwa nawasifia nipate nnachotaka, sionagi ubaya
 
Pacha snowhite shukrani zikija bila kusukumwa na ndio zinanoga..
Saa zingine tunapishana namna ya ku'appreciate'..
Kikubwa msome hubby wako ana pozi gani when it comes kukusifia wewe mkewe..
Wakati mwingine tunaonaga kuwa mmefanya wajibu wenu..why kusifia??
 
Last edited by a moderator:
we nidanganye danganye danganye tuu............,
ukiniambia ukweli nitaumia........

hahahaaaaaa.................

Kuna aiina za watu
ukiwasifia tu,watakwambia cut the story ....what do u want?? lol

since watu wengi humwaga sifa ili kupata wanachokitaka

mimi i prefer kutoa sifa genuine ......
na nikipewa sifa 'nakuwa uncomfortable kiana'
knowing sifa nyingi huwa sio genuine
 
mi nafikiri ni vizur kumjua vizur mwenzi wako anaangukia kwenye aina ipi, ya wanaopenda sifa au wasiopenda sifa......

Kuna aiina za watu
ukiwasifia tu,watakwambia cut the story ....what do u want?? lol

since watu wengi humwaga sifa ili kupata wanachokitaka

mimi i prefer kutoa sifa genuine ......
na nikipewa sifa 'nakuwa uncomfortable kiana'
knowing sifa nyingi huwa sio genuine
 
Hivi kuna wengine hawasifu eeh? Poleni.

Sisi tunasifiana hata baada ya shughuli mwaya...na wala sioni kama ni sifa fake...nina amini ni genuine kwani siku tukichemsha tunaambizana pia. Lol.
 
Hapo ndio nimekumbuka ule uzi kwa nini wanawake wanapenda players. Kwa nini usi behave kama player kwa mkeo? Yani mnaenda kibubu bubu. Lol
 
but kipi bora?
honest credits au tusifie sababu tunajua ni ugonjwa wenu kusifiwa?

what if unasifiwa but sio ya moyoni?

sasa na we ukinisifia la uongo ndo inakusaidia nini?nisifie lililo la kweli as well as kunikosoa kwenye la ukweli pia!
 
Back
Top Bottom