Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Hongereni na poleni kwa pilika wakuu.
Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk.
Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza na alikuwa anakuheshimu.
Niwaambie kitu leo na mukiweke akilini siku zote.
Mwanaume anapo kutongoza wakati muna ukaribu mkubwa sio akili yake ya kawaida, bali kuna nguvu ya ushawishi inayotokana na ule ukaribu ndiyo huwa inamsukuma. kuthibitisha hilo ni baada ya kukataliwa ndiyo akili humrudi na kuanza kuona haya/aibu.
Hata kama mwanamke ni mbaya kiasi gani ile hali ya kuwanae karibu tu inaweza kumgeuza mwanamke huyo kuwa ni mwamke mzuri mno mbele ya mwanaume.
Kwa maoni yangu kuipunguza hali hii, inatakiwa mwanamke uwe kauzu muda mwingi kwasababu inapunguza ile hali ya mwanaume kuona/kufikiri anaweza kukupata akikutongoza.
Ni mimi Kijana masikini
Muwe na usiku mwema.