Sawa, kwanza niseme sina binti, ila ikitokea ninae na nikapata hiyo taarifa ya kutakiwa kimwili na mwalimu wake. Nitakacho kifanya ni kuendelea kumkumbusha binti yangu madhara ya kushiriki ngono katika umri wa shule.
Upande wa mwalimu (mwanaume wenzangu) siwezi kuuchukulia maamuzi yoyote yale (nitaacha kama ilivyo)
Siongei hivi kwa sababu ya kutetea bandiko langu bali ni msimamo wangu katika maisha.
Nilshawahi kufanya hivi kwa mtoto wa sistaangu ambae nilipewa jukumu la kumlea, alianzisha mahusiano na dogo flani hapa kitaa.
Kwa kuongezea. nilishawahi kufanya hivi kwa aliyekuwa mke wangu ambae alianzi pia mahusiano nje ya ndoa