Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
-
- #41
🤣🤣🤣🤣 okee ni jamaa yako.Kuna jamaa yangu narudia tena jamaa yangu siyo mimi alikua anamuona demu flani hivi wa kawaida sana sasa siku moja wakati wanapishana kwenye corridor bahati mbaya akagusa nyonyo ya yule demu kwanzia hapohapo anamuona yule demu kama Beyonce
Zingatia ni jamaa yangu siyo mimi.
Nashuku ndoa yako ilitamatika baada ya mkeo kuona una vitu haviko sawa, ndiyo maana hata unaona kutongoza shemeji ni 'ujanja' wa kiume.Sawa, kwanza niseme sina binti, ila ikitokea ninae na nikapata hiyo taarifa ya kutakiwa kimwili na mwalimu wake. Nitakacho kifanya ni kuendelea kumkumbusha binti yangu madhara ya kushiriki ngono katika umri wa shule.
Upande wa mwalimu (mwanaume wenzangu) siwezi kuuchukulia maamuzi yoyote yale (nitaacha kama ilivyo)
Siongei hivi kwa sababu ya kutetea bandiko langu bali ni msimamo wangu katika maisha.
Nilshawahi kufanya hivi kwa mtoto wa sistaangu ambae nilipewa jukumu la kumlea, alianzisha mahusiano na dogo flani hapa kitaa.
Kwa kuongezea. nilishawahi kufanya hivi kwa aliyekuwa mke wangu ambae alianzi pia mahusiano nje ya ndoa
Sio dhambi wewe kuhisi hivyo.Nashuku ndoa yako ilitamatika baada ya mkeo kuona una vitu haviko sawa, ndiyo maana hata unaona kutongoza shemeji ni 'ujanja' wa kiume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao wenye sura mbovu sasa ndio wanakuaga na K tamu hataaari, unaikuta mnato halafu ya motooo iko na full utelezi, hapo ndipo nnapoukubaligi ule msemo wa Mungu hakunyimi vyote.Chaiii ushawahi kutana na sura mbovu hadi unatamani kutapika wee acha kabisa kuna madem ni wabovu weeee Mwenyezi Mungu wahurumie tu maaana sio poa
Kama unafahamu ni uboya, ulikuwa una-justify nini?Sio dhambi wewe kuhisi hivyo.
Hakuna mahali nimeandika kwamba 'kutongoza Shemeji ni ujanja'
Uongozwa na akili na sio hisiaMkuu mwanaume anaejitambua anakuwa na sifa gani nyingine? Nataka nipime hili wimbi la wanaume wanaofanya hivi kila kunapokucha kwamba wote hawajitambui.
Kwangu mimi hapana kwa kweli wabaki na k zao tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hao wenye sura mbovu sasa ndio wanakuaga na K tamu hataaari, unaikuta mnato halafu ya motooo iko na full utelezi, hapo ndipo nnapoukubaligi ule msemo wa Mungu hakunyimi vyote.
SawaUongozwa na akili na sio hisia
Kama siyo uboya, maana yake ni ujanja?Pia hakuna mahali nimeandika kutongoza shemeji ni uboya
Hizo maana zote unazileta wewe kwa kuzibadilisha mkuu, bandiko langu mbona liko wazi, labda pitia tena uone kama kuna mahali nimeandika ni uboya ama ni ujanja kutembea (kungonoka) na shemejiKama siyo uboya, maana yake ni ujanja?
Kama Hadi Vichaa Wanawake Wanapewa Mimba Ndio Ije Kuwa Huyo Sura MbovuChaiii ushawahi kutana na sura mbovu hadi unatamani kutapika wee acha kabisa kuna madem ni wabovu weeee Mwenyezi Mungu wahurumie tu maaana sio poa
Mimi nakuuliza swali sasa; mtu anayejihusisha na shemeji yake unamchukuliaje, mjanja ama boya?Hizo maana zote unazileta wewe kwa kuzibadilisha mkuu, bandiko langu mbona liko wazi, labda pitia tena uone kama kuna mahali nimeandika ni uboya ama ni ujanja kutembea (kungonoka) na shemeji
Sio ujanja (sio jambo la kijifaharisha nalo)Mimi nakuuliza swali sasa; mtu anayejihusisha na shemeji yake unamchukuliaje, mjanja ama boya?
Kwako wewe, kati ya ny.ege na akili, kipi kinaendesha mwenzake?Sio ujanja (sio jambo la kijifaharisha nalo)
Sio uboya (sio jambo unalolifanya kwa matakwa ya akili bali msukumo)