Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
-
- #61
Mbona wewe unajitoa wakati na wewe ni mtu wa karibu na watu humu jeiefuSawa, pendaneni tongozaneni ikibidi peaneni. Ila msisahau kumfatilia Trump kuna vitu kasitisha..!!
Kila mtu na preference zakeKama Hadi Vichaa Wanawake Wanapewa Mimba Ndio Ije Kuwa Huyo Sura Mbovu
Kila kimoja kinaendesha kingine kwa wakati wake.Kwako wewe, kati ya ny.ege na akili, kipi kinaendesha mwenzake?
Ni nguvu ya asili au maumbile au huyo shetani sisi hatuna kosa kwenye hili.Achen kumsingizia shetan mpumzishen et sio akil ya kawaida Sasa ni akil ya nani? Wanaume bana
Tena wakati mwingine huo msukumo hua wanauleta haohao mashemeji, imagine uko na lishemeji lizuriiiii, lina mahips na tako laini kama skonzi halafu kila mdogo wake akiangalia pembeni lenyewe ninakukonyenza na kutabasamu.Sio ujanja (sio jambo la kijifaharisha nalo)
Sio uboya (sio jambo unalolifanya kwa matakwa ya akili bali msukumo)
Mlongo, umechachuka siku hizi, LolUtawasikia, nilikuwa nakuheshimu sana..!! Nani kasema wa kumtongoza anatakiwa kwanza adharauliwe?
πππ Hiyo sijaweka hapo mkuu, mara nyingine unakuta unategwa kabisa, halafu ukitupa ndoano lawama zinakuja kwakoTena wakati mwingine huo msukumo hua wanauleta haohao mashemeji, imagine uko na lishemeji lizuriiiii, lina mahips na tako laini kama skonzi halafu kila mdogo wake akiangalia pembeni lenyewe ninakukonyenza na kutabasamu.
Hainaga ushemeji si tunakulaaaga.