Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Dharau dhidi yetu zimezidi this is too much hata kama pesa ina umuhimu kwenye maisha ifike time tuheshimiane kama unapenda mwanaume mwenye pesa it's okay basi usianze dhihaka kwa wasionacho. leo nimekutana na kundi la maslay queen wakidiss wanaume wasio na pesa aisee wangekuwa na mamlaka basi wangepitisha azimio kuwa mabroke guys wote wauliwe.

Mwana kulitafuta mwana kulipata hawa maslay queen ni wanafiki sana wanaenda kwa masponsa wanapata pesa at same time wanarudi kukunwa na masikini kutolewa nyege.

My opinions ili kuwakumbusha kuwa everything at some point kinakuwa kina faida basi wanaume masikini tutie mgomo kulana na maslay queen tule wanawake wenye heshima wanaojua umuhimu wa mwanaume bila ya kujali kipato chake hapo ndipo sehemu ya kusimamia ukucha hapo ndipo pakupaka mkongo pekee.

Hawa maslay queen waacheni watumie my Dildo na mavidole yenye mikucha kama majini kutuliza hakshi zao na ikitokea kakutengea ni mwendo wa tako mbili wazungu hao hakuna haja ya kumfikisha kileleni slay queen.

Trust me ndani ya muda mfupi bila kujali financial status wanaume tutaanza kupewa heshima yetu.
 
Bora uzima maisha ni matokeo!! Katika maisha kuna kupata na kukosa pia!

Binafsi naona ni bora niwe na mwanaume masikini asie na dharau na anaejali hata kwa kidogo tu na kukuheshimu kuliko tajiri mwenye pesa mwenye mambo miambiliiii kidogoo!!
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Pesa inaleta dharau/ jeuri!
 
Safi sana nyie ndio mnadeserve upendo na caring ya hali ya juu
 
Sisi Wazee tumebaki kushuhudia mnayopitia, maana enzi zetu Pesa haikuwa sehemu ya hitaji la Mwanamke kukupenda.

Ili Mwanamke avutiwe nawe ilikuwa lazima uoneshe una mashamba ya yeye na wewe kuweza kulima ili kuweza kujikimu.

Wakati huo kusuka ilikuwa mtindo wa twende kilioni tu ambao wanasukana wenyewe bure, sio kama ninyi hela anayotaka Mpenzi wako kusuka inaweza kununua mabati 28G ya kuweza kuezeka chumba na sebule πŸ€ͺπŸ™Œ
 
B
Bila shaka wewe ndio utakuwa MWENYEKITI wa hiki chama...

Mbaya zaidi tukikosea mlango wa kuigia.

Wanatukaribisha tu....
 
lakini mkuu Kuna kipindi ulikuwa kwenye mapenzi nakijana mmoja humu anaitwa simati.

moja yamatukio ninayo yakumbuka ni sikumoja uliposti humu maburungutu ya hela ukijinasibu kuwa bwana simati kakuwish birthday yako

kwamaburungutu yale.nakwauchunguzi wangu nipesa taslim kama lakitano hivi na ushee

pia uliposti kama kuwatambia mashosti zako kuwa upo nabwana ambae birthday tu anakuhonga lakitano na ushee

nakuposti kwako kulea kukakufanya Hadi ukapinduliwa na mamΓ‘ mmjoja humu wakuitwa ddepo ulilia sana.

leohii unasema Bora mwanaume masikini?

simati ulimpendea nini? haliyakuwa ulikuwa umeolewa na mjeda?funguka Mahonda wangu I love you so much.
 
Hii sio Code kweli hii naona imefungwa kwenye parcel
 
Ishi,,Tumia,,kubali na heshimu nyakati wakati wa kuishi maisha yako,, maisha ni Wewe Kwanza!!
 
Soma vizuri hio komenti yangu utaielewa vizuri!

Mimi napenda mtu na ujinga ujinga mwingine mwingi tu alionao na si pesa/ mali zake !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…