Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Bora uzima maisha ni matokeo!! Katika maisha kuna kupata na kukosa pia!

Binafsi naona ni bora niwe na mwanaume masikini asie na dharau na anaejali hata kwa kidogo tu na kukuheshimu kuliko tajiri mwenye pesa mwenye mambo miambiliiii kidogoo!!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Pesa inaleta dharau/ jeuri!
Kauli za kujikatia tamaa hizi[emoji1787][emoji2]
 
Dharau dhidi yetu zimezidi this is too much hata kama pesa ina umuhimu kwenye maisha ifike time tuheshimiane kama unapenda mwanaume mwenye pesa it's okay basi usianze dhihaka kwa wasionacho. leo nimekutana na kundi la maslay queen wakidiss wanaume wasio na pesa aisee wangekuwa na mamlaka basi wangepitisha azimio kuwa mabroke guys wote wauliwe.

Mwana kulitafuta mwana kulipata hawa maslay queen ni wanafiki sana wanaenda kwa masponsa wanapata pesa at same time wanarudi kukunwa na masikini kutolewa nyege.

My opinions ili kuwakumbusha kuwa everything at some point kinakuwa kina faida basi wanaume masikini tutie mgomo kulana na maslay queen tule wanawake wenye heshima wanaojua umuhimu wa mwanaume bila ya kujali kipato chake hapo ndipo sehemu ya kusimamia ukucha hapo ndipo pakupaka mkongo pekee.

Hawa maslay queen waacheni watumie my Dildo na mavidole yenye mikucha kama majini kutuliza hakshi zao na ikitokea kakutengea ni mwendo wa tako mbili wazungu hao hakuna haja ya kumfikisha kileleni slay queen.

Trust me ndani ya muda mfupi bila kujali financial status wanaume tutaanza kupewa heshima yetu.
Hahaha
 
Back
Top Bottom