Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Humu haya ni Majina makubwa wa vipaji ukianzisha uzi kuhusu Mahondaw/ Antonnia sijui naninani huko lazima huo Uzi ujaeee!![emoji1783][emoji1783][emoji1787]!!
Au hata ukikoment tyuuu lazima visokorokwinyooo wotreee watoke walipojificha bwahahahahahahahahah!!!

Jf sihamiiiiii [emoji126][emoji126][emoji1739][emoji1739]!!
Madam itakuwa we ni mtam sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utamu who which where??[emoji4] Khakhaa! ! Tangu lini wazee/ mishangazi tukawa watamu ???
Utani wa ngumii huu wa vipajii sina hata huo utramu mie !
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]madam bwana!!
 
Back
Top Bottom