Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Wanaume tusio na pesa tukiungana tutaheshimiwa

Unajifanya umemsahau?? Nakukumbusha leo weekend imeanza tukutane kumalija [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhahaa shoga ghafla kwebye uzi wake akasema nisilemzee mazoea..mara we bibi sitaki mazoea..uzi mwingine akasema ni pm..aise ikabidi nibaki nashangaa tu
 
Wa kuzaa nao wako wapi?? Ni kutafuta kushinda ustawi wa jamii kudai child support na kupigana vikumbo uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja niendelee kutafuta pesa nikiamua kuzaa, nilee mtoto wangu kwa raha
Haoohaoo uduguuu maisha ndio hayahayaaa ujue!!
 
leo nimekutana na kundi la maslay queen wakidiss wanaume wasio na pesa aisee wangekuwa na mamlaka basi wangepitisha azimio kuwa mabroke guys wote wauliwe.
Hapa ungetuita tuwatandike mabanzi hadi wakaseme kwa wazazi wao 🤬🤬🤬
 
Hahhahaa shoga ghafla kwebye uzi wake akasema nisilemzee mazoea..mara we bibi sitaki mazoea..uzi mwingine akasema ni pm..aise ikabidi nibaki nashangaa tu

Visungura anavyokunywa vinampeleka race, mwenyewe alinitukana akanikuta na me nimeamka na hangover za pombe za kizambia nilimporomoshea mitusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kitonga hiyo ndio maana ya True love kuelewa hali ya mwenza wako.

Kumbe unataka true love kwa maslay queen?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vuta kiti ukae, utasubiri sanaaaa
 
Visungura anavyokunywa vinampeleka race, mwenyewe alinitukana akanikuta na me nimeamka na hangover za pombe za kizambia nilimporomoshea mitusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hee...sijaona..uzi gani? Bas ana stress...sikumjibu nilimpa mshangao...eti usinizoee.wtf
 
Mi sina pesa na hata wakinidharau sijali siwezi kuwa na pesa kama hao wazee kwakua mimi bado kijana mdogo ndo nmeanza kutengeneza msingi wa maisha yangu.

Wakinidharau leo Dunia haisimami wamuangalie Wema Sepetu, baada ya miaka kadhaa mbele itafika hatua na mimi nitawadharau, si unajua wanavyowahi kuzeeka man?

Dharau zao ni za muhimu sana ili tupate hasira ya kutafuta.
 
Back
Top Bottom