Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
AFRICA MY CONTINENT 🤣🤣🤣🤣🤣.Kiufupi Tu Aliyeleta Mapenzi Duniani Alileta Vita,
Yani Kutafuta Mpenzi ni Vita, ukimpata Inabidi umpambanie Asikuache nayo ni vita maan hapa ndo Utaanz Kupaka Mavumbi ya Wakongoman Nk ... Plus Pesa za hap na Pale,
Mkiachana Ndo Vita Kamili sasa, mkitaka Kujua Mapenzi ni Vita siku Mkoa mmoja tu wa Tanzania wapewe Ofa na Serikali kwa Wanaume wote Wapime Watoto wao DNA,
Aisee Vita vitakavyoibuka kwenye Huo Mkoa Hata Ukraine na Urusi itabidi Wasimamishe Vita ili wajifunze Kitu katika Vita itakayotokea kwenye Mkoa huo.
DUUUH HAYA BANA