Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
muhimu ipite tu, hayo mengine tuwaachie vijana ๐Mie mkaireee! Hisia zishasinyaa na kuisha kabisa!๐๐
Hata na baba chanja tunaangaliana tu nakukumbatia kwa upendo wa kizee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muhimu ipite tu, hayo mengine tuwaachie vijana ๐Mie mkaireee! Hisia zishasinyaa na kuisha kabisa!๐๐
Hata na baba chanja tunaangaliana tu nakukumbatia kwa upendo wa kizee
๐๐utakufa imekakamaa wee endekeza tu ๐ !!muhimu ipite tu, hayo mengine tuwaachie vijana ๐
Kwani kazi yake ni ipi? ๐๐๐utakufa imekakamaa wee endekeza tu ๐ !!
Kuzalisha tu sio kukomoa ulikotoka! ๐Kwani kazi yake ni ipi? ๐
Mbona huwa unatoa ushirikiano ikiwa mahali pake, mara unaanza kukizungusha taratiiibuu ๐Kuzalisha tu sio kukomoa ulikotoka! ๐
Mie huyuu nizungushe kiuno !!??? Na ugogo wangu Huo utaalamu niutoe wapi khah ๐๐๐!Mbona huwa unatoa ushirikiano ikiwa mahali pake, mara unaanza kukizungusha taratiiibuu ๐
Tena nyie ndio hatari zaidiMie huyuu nizungushe kiuno !!??? Na ugogo wangu Huo utaalamu niutoe wapi khah ๐๐๐!
Japo hao wanaigiza tu ila Hizi kesi tunazo za kutoshaa[emoji16][emoji16]! Vibinti vidogooo havitaki shule kukimbilia miborouu mxxiewww!!
Jf never boring
Siku hizi wanaume hawana mapenzi ya kweli haijalishi ni masikini au tajiri, huyo masikini unayemuona anajali ni kwa sababu ni masikini hata yeye akipata atakuwa na dharau vile vile, maana si ajabu hata hao matajiri walipokuwa masikini nao walikuwa humbleBora uzima maisha ni matokeo!! Katika maisha kuna kupata na kukosa pia!
Binafsi naona ni bora niwe na mwanaume masikini asie na dharau na anaejali hata kwa kidogo tu na kukuheshimu kuliko tajiri mwenye pesa mwenye mambo miambiliiii kidogoo!!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Pesa inaleta dharau/ jeuri!
Sasa mwanamke wako atajuaje kama siku hiyo umepata au umekosa ilihali huwa mmepanga misururu ya michepuko na yote inahitaji kuhudumiwa, mfano umepata elfu hamsini mwanamke wako unampeleka elfu kumi michepuko yako unaipelekea elfu ishirini ishirini halafu unamdanganya kwamba hicho ndicho ulichopata, obviously mwanamke hawezi kuamini maana huwa mnakiri wenyewe kuwa hakuna mwanaume asiyechepukaWakati kupata na kukosa ni sehemu ya maisha.
Siku hizi wanaume hawana mapenzi ya kweli haijalishi ni masikini au tajiri, huyo masikini unayemuona anajali ni kwa sababu ni masikini hata yeye akipata atakuwa na dharau vile vile, maana si ajabu hata hao matajiri walipokuwa masikini nao walikuwa humble
Hujawahi kusikia kuna wanawake walianzia chini na wanaume wao ila baadaye hao wanaume walipofanikiwa wakawasaliti, ni kwamba atakuwa na wewe kwa sababu tu ndio upo kwa ajili yake kwa wakati huo, akishazipata ataanza sasa kuwatafuta wale aliokuwa anawatamani ila kipindi hicho aliwakosa sababu ya umasikini wake
Mwanaume ni mwanaume tu haijalishi ni tajiri au masikini, wanawake wengi siku hizi wana msemo wao wanakuambia "bora kulia ndani ya gari kuliko kulia juu ya bodaboda" maana kwa vyovyote vile kulia lazima utalia tu, halafu hata hivyo huwa nashangaa wanaume wasipopendewa pesa wanataka wapendewe nini kingine maana hata wao huwa hawawapendi wanawake hivi hivi lazima kuna sababu
Huu ni ukweli mchungu kabisa. Ila ndo hivyoSiku hizi wanaume hawana mapenzi ya kweli haijalishi ni masikini au tajiri, huyo masikini unayemuona anajali ni kwa sababu ni masikini hata yeye akipata atakuwa na dharau vile vile, maana si ajabu hata hao matajiri walipokuwa masikini nao walikuwa humble
Hujawahi kusikia kuna wanawake walianzia chini na wanaume wao ila baadaye hao wanaume walipofanikiwa wakawasaliti, ni kwamba atakuwa na wewe kwa sababu tu ndio upo kwa ajili yake kwa wakati huo, akishazipata ataanza sasa kuwatafuta wale aliokuwa anawatamani ila aliwakosa sababu ya umasikini wake
Mwanaume ni mwanaume tu haijalishi ni tajiri au masikini, wanawake wengi siku hizi wana msemo wao wanakuambia "bora kulia ndani ya gari kuliko kulia juu ya bodaboda" maana kwa vyovyote vile kulia lazima utalia tu, halafu hata hivyo huwa nashangaa sasa wanaume wasipopendewa pesa wanataka wapendewe nini kingine maana hata wao huwa hawawapendi wanawake hivi hivi lazima kuna sababu
Yaniii nimecheka sana!Huyo jamaa kanichekesha anaparamia watu afu anawatungia story anayoijua yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli sema uwe masikini uwe tajiri kama unaleta dharau/ jeuri ๐๐๐๐๐๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ!Siku hizi wanaume hawana mapenzi ya kweli haijalishi ni masikini au tajiri, huyo masikini unayemuona anajali ni kwa sababu ni masikini hata yeye akipata atakuwa na dharau vile vile, maana si ajabu hata hao matajiri walipokuwa masikini nao walikuwa humble
Hujawahi kusikia kuna wanawake walianzia chini na wanaume wao ila baadaye hao wanaume walipofanikiwa wakawasaliti, ni kwamba atakuwa na wewe kwa sababu tu ndio upo kwa ajili yake kwa wakati huo, akishazipata ataanza sasa kuwatafuta wale aliokuwa anawatamani ila kipindi hicho aliwakosa sababu ya umasikini wake
Mwanaume ni mwanaume tu haijalishi ni tajiri au masikini, wanawake wengi siku hizi wana msemo wao wanakuambia "bora kulia ndani ya gari kuliko kulia juu ya bodaboda" maana kwa vyovyote vile kulia lazima utalia tu, halafu hata hivyo huwa nashangaa wanaume wasipopendewa pesa wanataka wapendewe nini kingine maana hata wao huwa hawawapendi wanawake hivi hivi lazima kuna sababu
Yaniii nimecheka sana!
Hapo ukute bangi inakua ishakolea zinazochaji hapo sio akili zake tena ,๐๐!Kuna nyingine anamwambia mtu eti mkulima wa bhangi na haogopi serikali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ukute bangi inakua ishakolea zinazochaji hapo sio akili zake tena ,[emoji16][emoji16]!
Bangi haijawahi muacha mtu salama udugu!Wanamdunda lkn hakomi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]