Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ata kama ni kipofu......chaguo lako; ebu imba ule wimboIiiigweeeeeeeehhhh iiiigweeeeeeeehhhh iiiigweeeeeeeehhhh!!!
Santooo sanaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ata kama ni kipofu......chaguo lako; ebu imba ule wimboIiiigweeeeeeeehhhh iiiigweeeeeeeehhhh iiiigweeeeeeeehhhh!!!
Santooo sanaaa!
Hakika mkuu kiukweli anitosha mpaka nabakia hebu niache hizi bangi zangu kwakweli!!😊😊😊😊Muhimu ni kutulia na chaguo lako tu
Jf[emoji40]lakini mkuu Kuna kipindi ulikuwa kwenye mapenzi nakijana mmoja humu anaitwa simati.
moja yamatukio ninayo yakumbuka ni sikumoja uliposti humu maburungutu ya hela ukijinasibu kuwa bwana simati kakuwish birthday yako
kwamaburungutu yale.nakwauchunguzi wangu nipesa taslim kama lakitano hivi na ushee
pia uliposti kama kuwatambia mashosti zako kuwa upo nabwana ambae birthday tu anakuhonga lakitano na ushee
nakuposti kwako kulea kukakufanya Hadi ukapinduliwa na mamá mmjoja humu wakuitwa ddepo ulilia sana.
leohii unasema Bora mwanaume masikini?
simati ulimpendea nini? haliyakuwa ulikuwa umeolewa na mjeda?funguka Mahonda wangu I love you so much.
😁😁😁😁😊!!ata kama ni kipofu......chaguo lako; ebu imba ule wimbo
Endelea kusema maisha magumu 😀Nitoe wapi sura nzuri?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa field 😀Hakika mkuu kiukweli anitosha mpaka nabakia hebu niache hizi bangi zangu kwakweli!!😊😊😊😊
Sometimes we Learn through mistakes mkuu😊Ulikuwa field 😀
Ni kweli, kwa sasa nikuiachia yote tu, mtuletee vitoto muijaze dunia; usiwe kama huyu anayejiita Cut... 😀 , bado anakula ujanaSometimes we Learn through mistakes mkuu😊
Itakuwa wanakupenda sana madam, mbona wana-kufollow namna hii?Poleni sana kwa kuteseka ! Nawaumiza sana kichwa eeh??? Khakhakhaaaa!!
Umeona eeeehhh Watoto ni baraka!Ni kweli, kwa sasa nikuiachia yote tu, mtuletee vitoto muijaze dunia; usiwe kama huyu anayejiita Cut... 😀 , bado anakula ujana
Kaburi limefukuliwa.. [emoji23][emoji23]lakini mkuu Kuna kipindi ulikuwa kwenye mapenzi nakijana mmoja humu anaitwa simati.
moja yamatukio ninayo yakumbuka ni sikumoja uliposti humu maburungutu ya hela ukijinasibu kuwa bwana simati kakuwish birthday yako
kwamaburungutu yale.nakwauchunguzi wangu nipesa taslim kama lakitano hivi na ushee
pia uliposti kama kuwatambia mashosti zako kuwa upo nabwana ambae birthday tu anakuhonga lakitano na ushee
nakuposti kwako kulea kukakufanya Hadi ukapinduliwa na mamá mmjoja humu wakuitwa ddepo ulilia sana.
leohii unasema Bora mwanaume masikini?
simati ulimpendea nini? haliyakuwa ulikuwa umeolewa na mjeda?funguka Mahonda wangu I love you so much.
Ukitupatia 8 utakuwa umefanya vizuri, kama kazi hawezi mjulishe tumsaidie 😀Umeona eeeehhh Watoto ni baraka!
Santo sana!
Muda wake ukifika nae hatakua na budi!!
Na hawaringi simu moja mtoto huyu hapa.Huna sinaga mda na maslay, mtaani Kuna mademu wazuri na hawana shida wanatuvumilia tukiwa hatuna tukiwanacho tunawapa
Shangaaa nawewe wa vipajii!! Hao Wanatafuta kiki kupitia majina ya watu!!Itakuwa wanakupenda Dana madam, mbona wana-kufollow namna hii?
Kwenye rejesho sehemu za siri ndio zitaumia..Chalamila akiwapa mikopo ma slay queens labda wanaweza kupunguza dharau
Na mkishaachana ni vita pia maana vijembe kutupiana ni kawaidaKiufupi Tu Aliyeleta Mapenzi Duniani Alileta Vita,
Yani Kutafuta Mpenzi ni Vita, ukimpata Inabidi umpambanie Asikuache nayo ni vita maan hapa ndo Utaanz Kupaka Mavumbi ya Wakongoman Nk ... Plus Pesa za hap na Pale,
Mkiachana Ndo Vita Kamili sasa, mkitaka Kujua Mapenzi ni Vita siku Mkoa mmoja tu wa Tanzania wapewe Ofa na Serikali kwa Wanaume wote Wapime Watoto wao DNA,
Aisee Vita vitakavyoibuka kwenye Huo Mkoa Hata Ukraine na Urusi itabidi Wasimamishe Vita ili wajifunze Kitu katika Vita itakayotokea kwenye Mkoa huo.
Lakini waambie ERoni anatosha madam 🤣🤣Shangaaa nawewe wa vipajii!! Hao Wanatafuta kiki kupitia majina ya watu!!
NAKAZIA,Dharau dhidi yetu zimezidi this is too much hata kama pesa ina umuhimu kwenye maisha ifike time tuheshimiane kama unapenda mwanaume mwenye pesa it's okay basi usianze dhihaka kwa wasionacho. leo nimekutana na kundi la maslay queen wakidiss wanaume wasio na pesa aisee wangekuwa na mamlaka basi wangepitisha azimio kuwa mabroke guys wote wauliwe.
Mwana kulitafuta mwana kulipata hawa maslay queen ni wanafiki sana wanaenda kwa masponsa wanapata pesa at same time wanarudi kukunwa na masikini kutolewa nyege.
My opinions ili kuwakumbusha kuwa everything at some point kinakuwa kina faida basi wanaume masikini tutie mgomo kulana na maslay queen tule wanawake wenye heshima wanaojua umuhimu wa mwanaume bila ya kujali kipato chake hapo ndipo sehemu ya kusimamia ukucha hapo ndipo pakupaka mkongo pekee.
Hawa maslay queen waacheni watumie my Dildo na mavidole yenye mikucha kama majini kutuliza hakshi zao na ikitokea kakutengea ni mwendo wa tako mbili wazungu hao hakuna haja ya kumfikisha kileleni slay queen.
Trust me ndani ya muda mfupi bila kujali financial status wanaume tutaanza kupewa heshima yetu.