Wanaume tusipige wake zetu, wasuluhishaji wanaupiga mwingi

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Kwa wale wafuatiliaji, niliwahi kuwapa story ya mwanadada aliyekuwa haelewani na mmewe kiasi cha kupigwa na manyanyaso kadha wa kadha! Akafikia hatua ya kulipeleka jambo hili kwa mjumbe na ngazi nyingine kadhaa! Kwa sasa wanandoa hawa wana report mahakamani kila siku! Pia kwa mjumbe!

Hivi sasa mjumbe anaupiga mwingi kwa mwanamke yule! Maake siku zinavyozidi kwenda, mahusiano yao yanataradadi! Mume anapigwa na kitu kizito kichwani katika harakati zake za kutumikia adhabu za mahudhurio!

Tuache kunyanyasa wake zetu.

Wasuluhishaji wanazichakata mbususu kimasihara!
 
Leta kisa kamili
 
Ilibaki kidogo nichakate mbususu ya mke wa rafiki yangu amani ilipotea ndani ya nyumba kwa kipindi cha kama miezi minne waifu wa jamaa akaniletea kesi nimwambie jamaa aache kuwa na michepuko ya ovyo.

Nilivyomkalisha chini jamaa akanijibu sh*t. Mtihani ukawa katika kupeleka mrejesho kwa waifu wake shetani wa uzinzi akawa ananilia rada na kunihamasisha niende ki vingine. Kweli mrejesho ukawa ule ule kwamba mumeo kanijibu sh** nikaaza kuweka mazingira sawa naona mtu anaelekea. Safari ya kikazi ndio ikanikosesha mbususu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
😂😂Kwamba hainaga ushemeji
 
Hayo yote chanzo chake ni kuoa mwanamke asiyejishimu na malay* . Mwanamke mwenye malezi mema na anayejiheshimu atakuheshimu mume na hata apitie changamoto za kiasi gani atabaki na msimamo wake.

Upande wa pili ni wanawake wasiojiheshimu hawa Kama yeye mwenyewe hajiheshimu hawezi kuheshimu mume na ndoa yake.
 

Huyo jamaa aliyekuwa anampiga mkewe ni wewe, ila pole mkuu jaribu kujishusha Ili arudi kwako
 
hapo hakuna kujiheshimu wala kujitambua na Hakuna cha mwanamke wala mwanaume. Binadamu wote tumeumbwa na hali ya kupenda kujariwa na kuoneshwa upendo wakati wote na inapotokea pale ulipo sasa ukakosa hivyo vitu mda unapoviitaji na kukawa na sehemu kuna mtu kaamua kukupa mda wake na hvyo vitu kila unapo muitaji nirahis kuanguka kwake ata asipo kutamkia anakutaka.
 
Mimi sijui niseme nini,ila ngoja waje wakupe muongozo mzuri ila ujumbe wangu ni kuwa.

Kwa kila maisha kuna kutoelewana na kupatana ,wakati wa huzuni na wakati wa raha.Unaposema mtu kaamua kukupa mda wake .................... Kuna maigizo kwenye maisha ukifanyiwa utajivunjia heshima wewe na kupata majuto sana kwa kuona kila kitu hakiwezekani.

Mtumaini Mungu ili azidi kuweka agano lenu imara la ndoa na kuwakumbusha kulimaanisha kila siku.
 
In short usioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…