Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kwa wale wafuatiliaji, niliwahi kuwapa story ya mwanadada aliyekuwa haelewani na mmewe kiasi cha kupigwa na manyanyaso kadha wa kadha! Akafikia hatua ya kulipeleka jambo hili kwa mjumbe na ngazi nyingine kadhaa! Kwa sasa wanandoa hawa wana report mahakamani kila siku! Pia kwa mjumbe!
Hivi sasa mjumbe anaupiga mwingi kwa mwanamke yule! Maake siku zinavyozidi kwenda, mahusiano yao yanataradadi! Mume anapigwa na kitu kizito kichwani katika harakati zake za kutumikia adhabu za mahudhurio!
Tuache kunyanyasa wake zetu.
Wasuluhishaji wanazichakata mbususu kimasihara!