Wanaume tutalipwa mengi na Mungu

Ulianza kuleta ugentleman Kwa sana ktk mahusiano tu you have to know you're doomed
 
Utalipwa na Mungu yupi mzee, ukipigwa umepigwa tu na hakuna utakachofanya zaidi ya kulalama tu kama nguruwe pori aliyepigwa mshale, ishi kimasta dunia haitaki wanyonge
Kataa Ndoa. Ni Kikwazo cha Maendeleo. ๐Ÿ˜‚
 
Walienda hospital? Je kama mayai haya kupevuka vizuri ikawa mbegu zikifika zina shindwa rutubisha yai vzr?
Halafu wa nje akaweza kurutubisha kwa miaka tofauti tofauti eeeh?
 
Itafahamika Tu jamaa ukirudi na ajue kale katoto Sio kake๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—
Wapishi wa chachandu la kulia Pilau msibani tupo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Jamaa atakuwa muelewa tu, yanazungumzika.
 
Unakuta kamtunzia heshima kwa busara , ila vijana wa siku hizi hawana koromea shindii๐Ÿšฎ
Yaani hovyo kabisa. Unatunziwa heshima then unakwenda kufukunyua ya kufukunyua huko๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
 
Huyo jamaa ameshalipwa kwa kitendo cha kugundua watoto si wake mapema..

Kabla hajafanya chochote
-Anauwezo wa kuzalisha?
-shahawa zake zina afya?

Maana huenda hawezi kuzalisha na mkewe amemfichia aibu.

Tofauti na hapo afanye maamuzi atakayoona yanafaa
 
Ulianza kuleta ugentleman Kwa sana ktk mahusiano tu you have to know you're doomed
Gentleman na real man hizo ni code names za simp. Muulize mwanamke gentleman au real man ni mwanaume wa aina gani uone jinsi atakavyokufafanulia simp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ