Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

Umenena vema sana mkuu.
 
Mwanaume halisi hakatai mtoto hatakama kazaa na mama yake mzazi. Mwanaume kamili siku zote anaoekana kwa matendo yake, wewe ulikosea tokea mwanzo

Acha uoga wewe ni Baba.. sasa kama unataka kuwa baba bora lazima ujisucrifice kwaajili ya mwanao haijalishi utaokwa kwenye moto wa gesi.
 
Sijakataa mtoto boss na siwezi enda kichwa kichwa na hajasema Kama mm ndo baba nikifanya vibaya anaweza kunikataa na nikawa Sina Cha kufanya
 
Ni dhambi mwanaume kuongea kwa kutumia moyo, mwanaume kutoa hisia Mbele ya kadamnasi ni sawa na baba kulia mbele ya mtoto wake mdogo wa kike.
 
Ni dhambi mwanaume kuongea kwa kutumia moyo, mwanaume kutoa hisia Mbele ya kadamnasi ni sawa na baba kulia mbele ya mtoto wake mdogo wa kike.
Kupata relief ni Jambo jema kuliko kufata watu wanavyoishi na kuishia kuumia moyoni na kukosa sehem pa kusemea
 
Utasubiri Sana kumfunga huyo mwarabu alger, utafungwa wewe magoli mengi huko kwao... πŸ˜πŸ˜ƒ
 
Omba Mungu Mwenyezi, akusamehe dhambi hiyo ya uzinzi umeifanya.

tulia, acha mawenge, ukweli utajulikana baadaye.

tafuta pesa na mafanikio binafsi, siku nyingine usitengwe.

vuta Sana mmea wa bangi utakusaidia kupanua, kukuza akili kwa kiwango Bora. 😁😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…