Umenena vema sana mkuu.
Nyie ndo huwa mnamwagiwa tindikali au hata kuwekewa sumu kwenye chakula, halafu baadae mnasema wanawake wana roho mbaya.
Mtu akakuvumilia muda wote huo unamcontrol kama roboti halafu mwisho wa siku unasema humuoi kisa hutaki ndoa ya bomani, wakati unamchakata hukujua dini ni tofauti, unalea mimba unampa ahadi za ndoa mpaka unaruhusu azae, atunze siri alooo.
Na huyo mtoto asikutambue kamwe kama wewe ndie baba yake maana ni mbinafsi sana, hutamlea vizuri.