Ze Rock
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 270
- 565
Sasa subiri utaona inavyokupata muharibifu wewe.
Hatutaki watu wajinga.
Kwanza endelea tu na ramli zako za kufanya makadirio ya umri wangu
Ana kikokotozi cha umri?? 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa subiri utaona inavyokupata muharibifu wewe.
Hatutaki watu wajinga.
Kwanza endelea tu na ramli zako za kufanya makadirio ya umri wangu
Ongeza juhudi mzee baba[emoji1787]Ok...basi ngoja nizidishe bidii ya kugegeda ili nife kabla huyo mwana wa adamu hajaja niwe nilishatulia zangu six feet under
Kwanini hampendi kuambiwa ukweli vijana wa kike ?Unahangaika sana
NilishamkoseaRoho wa bwana yu juu yako [emoji4]
Kwa hii mentality labda ukaoe wewe tena marioo, shilole yule pale anagawa kama biscuit.Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.
Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.
Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?
Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
Muache akokotoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana kikokotozi cha umri?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio utajua hujui??[emoji3][emoji3][emoji3]Yeah usiende kwa gia eti takuoa sijui nini. Huyo kafika aisee ndo utajua hujui
Wewe umejuaje kuwa anafuatailia maisha ya watu?! What of its his business kufuatilia maisha ya watu?!Hahaaa una matatizo wewe Yani umri wa wanawake ukuumize ili iweje maisha ni zaidi ya ngono, na jifunze ku mind bussiness yako mwisho utakuwa mchawi sasa, maisha na umri wa watu ambao ni Jambo la kawaida vikuumize jichunguze wewe
Kwanza kabisa shikamoo engineer ustaadh zurriKwanini hampendi kuambiwa ukweli vijana wa kike ?
Huyu Nampa Mimi mwenyeweNjoo uchukue kutoka kwangu.... [emoji4][emoji4][emoji4]
Utopolo mtupuMwenyewe ukasema tustick kwenye point na wakati ulianzisha mwenyewe mada ya ubank teller
Ukaja tena kuchambua vyeo vya wafanyakazi wa bank na huku pale juu umesema tustick kwenye point
Nimekujibu lakini bado umekuja na ramli zako chonganishi.
Inaonyesha huelewi hata unachokijadili.
Bora umekubali kwamba unaenda kutafuta hela,
Sijasema hujasoma nimesema inaonyesha bado hujajua kusoma vizuri
Uwe unasoma vizuri kabla hujadandia kunijibu .
Mimi sipambani na umri wangu pole sana[emoji1787]
Uliye na stress ni wewe unayekuja kujadili watu.
Achana nae huyu, daily yeye nikuja na defense mechanism na hajielewa, one day atakalishwa maana hapo alipo tayari kuna kabwana mdogo au njemba inampumulia begani na huwa analainika sasa sisi anatuletea ugumu gani na mtu akikunjwa huwa analegea wakati mtu anamkaza......Nilijua tuu MAPOVU Hayatakosa
Kosa la mtoa Mada Liko Wapi ??
Kwan ni uongo wadada wenye 27+ Swala la ndoa Linawapasua vichwaa ??
Kila Siku Tunapishana nao makanisani wanaombewa Au mumesahau upepo wa kisurisuri wa marehemu Mama Rwakatare
The issues is TUWE NAO MAKINI Sababu wako Desperate na Ndoa Mbona Mada inaeleweka
[emoji28][emoji28][emoji1]
Nisha kuwa na matatizo etiHa ha ha ha ha ha ha ha kashafika.....
Pambana na yakoUtopolo mtupu
Pambana na hali yako
Kausha basi.... Wewe mbona unahangaika na mleta mada?!Unahangaika nao wa nini kama hawakuhusu?
Miaka yao wenyewe halafu mkahangaike wengine?
Wivu ni kidonda
Na wewe kilichokuja kukuhangaisha ni kitu gani?Kausha basi.... Wewe mbona unahangaika na mleta mada?!
Bivie ungejaribu kujibu hoja kidogo ingekuwa jambo la busara sana.Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Yako yepiPambana na yako
Na jitahidi unavyopambana na yako usitikise yangu kijana